Uchaguzi 2020 Kitanzi dhidi ya Wagombea wa Upinzani kimefichwa ndani ya Kanuni za Uchaguzi 2020

Sophist

Platinum Member
Mar 26, 2009
4,484
3,400
Kwa jicho la uchambuzi hebu angalia kanuni hii:

30.-(1) Subject to the provisions of the Act, the Director of Elections, Registrar of Political Parties, Returning Officer, Attorney General or a candidate for Parliamentary election may lodge an objection of the nomination of any Parliamentary candidate.

(2) A person who intends to object the nomination of a candidate under subregulation (1) shall lodge his objection to the Returning Officer of the relevant constituency after the display of nomination forms but not later than four o’clock in the afternoon of the day following nomination day.

(3) The objection made pursuant to subregulation (1) shall be lodged to the Returning Officer by filling in Form No. 9B as prescribed in the First Schedule to these Regulations stating the following- (a) particulars of the objector; (b) particulars of the objected candidate; (c) grounds for objection; (d) date and time of lodging the objection; and (e) signature of the objector.

(4) The Returning Officer shall, with the least possible delay and before determining the validity of any objection- (a) notify in writing the person to whom the objection is made; and (b) avail such person an opportunity to be heard.

(5) Where the Returning Officer makes a decision on any objection, he shall inform the parties concerned of his decision and the reason thereof.

(6) Where a Returning Officer has accepted the objection of a candidate, he shall delete the name of such candidate from the list of nominated candidates.

Yaani maofisa wa Serikali, Maofisa wa Tume na tume yenyewe wanamuwekea mgombea pingamizi!? Makubwa haya!
Tukirejesha kumbukumbu zetu tutabaini kuwa hii kitu ni copy ya mkakati uliotumika uchaguzi wa vitongoji na vijiji mwaka jana ambapo wagombea wa CCM walipitishwa na wasimamizi wa uchaguzi na kupewa ushindi wa 'kupita bila kupingwa' kwa asilimia 90 ya viti vilivyokuwa vikishindaniwa, na kisha kushinda uchaguzi wote kwa asilimia 95.

Iwapo TUME au maofisa wake watawawekea wagombea mapingamizi itakuwa sawa na TUME kuonekana inachukua upande (inapendelea CCM) kinyume cha kanuni inayokubalika kimataifa kuwa TUME haitakiwi kuchukua/pendelea upande wowote baina ya wagombea wanaowania nafasi za uongozi. Yaani ni kama refa anachezesha mechi ambayo yeye anataka timu yake ishinde!

Ni bahati mbaya sana kuona wapinzani hawajipangi wala kujishughulisha na masuala ya hatari kama haya isipokuwa muda wao mwingi wako 'busy' na trivial issues wakati vichwa vyao vinaelekezwa kibra!

Rejea: National Elections (Presidential and Parliamentary Elections) GN No. 402 (contd.) GOVERNMENT NOTICE NO. 402 published on 5/6/2020
 
Attachments

  • SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf
    655.3 KB · Views: 17
Ni bahati mbaya sana kuona wapinzani hawajipangi wala kujishughulisha na masuala ya hatari kama haya isipokuwa muda wao mwingi wako 'busy' na trivial issues wakati vichwa vyao vinaelekezwa kibra!
Mkuu hapo kwenye maandishi yaliyokolezwa wino (bold fonts) umemaliza kila kitu. Hilo jambo la kupoteza muda kwenye masuala madogo madogo ambayo hayana muendelezo wa kudumu nimeliongelea sana.

Watu wanataka jambo la kujipatia umaarufu wa haraka ambayo mengi ni mambo madogo ya jawaida sana siyo ya kukusaidia kushinda vita ya kumng'oa mpinzani wako kwenye madaraka.
 
Agosti 28 kitakuwa kilio kitupu na matanga. Hebu angalieni na kanuni ya 50 (document imeambatishwa). Kwamba mawakala wa vyama watakwenda vituoni kusimamia maslahi ya vyama/wagombea wao bila barua za utambulisho bali wakitarajia kutambulishwa na Msimamizi wa Uchaguzi kupitia barua zilizotumwa kwenye vituo vya kupiga kura kuwatambulisha wahusika.

Yaani vyama vitarajie mfumo wa mawasiliano ndani ya NEC kuwahudumia mawakala wao! NEC yenyewe hii ambayo kuanzia vituo vya kupiga kura hadi makamishena.

kila idara na vitengo vinadhibitiwa na mashushushu (bankrolling CCM) ndiyo iwawezeshe mawakala wa vyama vya upinzani kudhibiti mambo vituoni. Hiki ni kichekesho kabisa. Ni njama!
 
Hizi objection hearing anaifanya nani
No body will be a judge on his own corse
Violation of rule of natural justice hiii
 
Hizi objection hearing anaifanya nani
No body will be a judge on his own corse
Violation of rule of natural justice hiii
Yaani ni mambo ya hovyo kabisa. Mkurugenzi wa NEC anaweka pingamizi dhidi ya mgombea halafu anakuwa ndiye mamlaka ya mwisho ya kusikiliza rufaa ya mgombea dhidi ya pingamizi (sick) aliloliweka yeye mwenyewe.

Mwezi mei vyama vya siasa vilipelekewa rasmu ya kanuni hizi ila inasikitisha kuona vyama havikujali wala kuona hatari ya njama zilizofichika ndani ya kanuni hizo.

Ninadhani, hata kama havisemi, vyama vya siasa viko under capacitated au pengine wanaona aibu kutafuta misaada ya policy experts kuwasaidia kuchambua kisha wao watumie refined expert output ku-engage NEC/ZEC.
 
Mwanzo kabisa kuna kipengele kilicho andikwa "Subject to provisions of this act". Hii ina maanisha kwamba kuna vigezo ambavyo huja orodhesha vinavyo weza kufanya tume imzuie mgombea yeyote kushiriki kwenye uchaguzi. Inabidi ku hakikisha vipengele 29 vya mwanzo vina elezea nini

Mimi binafsi sija viangalia hivyo vigezo lakini kwa haraka haraka kuna vitu vinavyo weza ku sababisha tume kuingilia kati na ku mzuia mgombea kushiriki kwenye uchaguzi. Kwa mfano

1. Mgombea kuwa na historia ya uhalifu
2. Mgombea kuhusika na udanganyifu kwenye ku wasilisha vielelezo vyake kwa tume ya uchaguzi. Kama vile vitambulisho n.k
3. Mgombea ambaye haja pitishwa na chama chochote cha siasa

Uki angalia kipelenge cha 3c kuna kitu kilicho andikwa "grounds for objection". Hii ina maanisha kwamba huwezi kuzuka kutoka popote na ku mkataa mgombea yeyote. Lazima uwe na sababu za msingi.

Kipengele cha 4b kina bainisha kwamba mtu yeyote ambaye ame kataliwa kwa sababu yoyote ata pewa nafasi ya kuji eleza na ata sikilizwa.

- Kilicho tokea kwenye uchaguzi wa mwaka jana ni vyama vya upinzani ku goma kushiriki kwenye uchaguzi. Hicho ndicho kilicho sababisha CCM kushinda kwa asilimia 99, bila kupingwa.

Ni vyema kufahamu kwamba kuna utaratibu ambao upo. Hata kama una vigezo ambavyo haviji toshelezi lazima utapewa nafasi kuji tetea na haimaanishi kwamba returning officer anaweza kuzuka na bila sababu yoyote ku mzuia mgombea yeyote kushiriki kwenye uchaguzi
 
Hakunaga Tume inayoamua tu kuwa huru. Siku zote nguvu ya umma ndo huwa inazifanya kuwa huru. Malawi nguvu ya umma iliifanya Tume kuwa Huru, Kenya nguvu ya umma ilikianzisha hadi wakakaa chini na kuunda Tume Huru.

Mwaka huu Tanzania nguvu ya umma inaenda kuifanya Tume kuwa huru.

Nguvu ya umma inaenda kupiga kura kwa wingi mwaka huu, nguvu ya umma inaenda kulinda kura mwaka huu na nguvu ya umma inaenda kusimamia uhesabuji wa kura vituoni na mwisho nguvu ya umma inaenda kuhakikisha walioshinda kweli ndo wanaotangazwa kweli kuanzia udiwani, ubunge hadi uraisi.

Enough is Enough!!!
 
Yaani ni mambo ya hovyo kabisa. Mkurugenzi wa NEC anaweka pingamizi dhidi ya mgombea halafu anakuwa ndiye mamlaka ya mwisho ya kusikiliza rufaa ya mgombea dhidi ya pingamizi (sick) aliloliweka yeye mwenyewe.
Mwezi mei vyama vya siasa vilipelekewa rasmu ya kanuni hizi ila inasikitisha kuona vyama havikujali wala kuona hatari ya njama zilizofichika ndani ya kanuni hizo. Ninadhani, hata kama havisemi, vyama vya siasa viko under capacitated au pengine wanaona aibu kutafuta misaada ya policy experts kuwasaidia kuchambua kisha wao watumie refined expert output ku-engage NEC/ZEC.
Mtoa mada kwa sasa umegeuka 'anti-establishment' nini kimekugeuza msimamo?
 
Uzuri vyama vya siasa kama wadau tulishawaplekea rasimu na wao wakaikubali sasa ni nani mwingine atakae pinga?
 
Mbona ni utaratibu mzuri. Waki zuka watu wanao jifanya kuwa ma wakala itakuwaje?

Utaratibu sahihi ilikuwa ni mawakala kupewa barua za utambulisho, huu utaratibu wa sasa ni wa rais aliyeko madarakani, ambaye hana historia nzuri ya kushindana kwa njia ya kura zaidi ya kushurutisha kupita bila kupingwa.
 
Mwanzo kabisa kuna kipengele kilicho andikwa "Subject to provisions of this act". Hii ina maanisha kwamba kuna vigezo ambavyo huja orodhesha vinavyo weza kufanya tume imzuie mgombea yeyote kushiriki kwenye uchaguzi. Inabidi ku hakikisha vipengele 29 vya mwanzo vina elezea nini

Mimi binafsi sija viangalia hivyo vigezo lakini kwa haraka haraka kuna vitu vinavyo weza ku sababisha tume kuingilia kati na ku mzuia mgombea kushiriki kwenye uchaguzi. Kwa mfano

1. Mgombea kuwa na historia ya uhalifu
2. Mgombea kuhusika na udanganyifu kwenye ku wasilisha vielelezo vyake kwa tume ya uchaguzi. Kama vile vitambulisho n.k
3. Mgombea ambaye haja pitishwa na chama chochote cha siasa

Uki angalia kipelenge cha 3c kuna kitu kilicho andikwa "grounds for objection". Hii ina maanisha kwamba huwezi kuzuka kutoka popote na ku mkataa mgombea yeyote. Lazima uwe na sababu za msingi.

Kipengele cha 4b kina bainisha kwamba mtu yeyote ambaye ame kataliwa kwa sababu yoyote ata pewa nafasi ya kuji eleza na ata sikilizwa.

- Kilicho tokea kwenye uchaguzi wa mwaka jana ni vyama vya upinzani ku goma kushiriki kwenye uchaguzi. Hicho ndicho kilicho sababisha CCM kushinda kwa asilimia 99, bila kupingwa.

Ni vyema kufahamu kwamba kuna utaratibu ambao upo. Hata kama una vigezo ambavyo haviji toshelezi lazima utapewa nafasi kuji tetea na haimaanishi kwamba returning officer anaweza kuzuka na bila sababu yoyote ku mzuia mgombea yeyote kushiriki kwenye uchaguzi
Sina uhakika iwapo unafahamu kwa uhakika kilichotokea mwaka jana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo wasimamizi wa uchaguzi au wasaidizi wao waliharamisha wagombea kutoka kwa vyama vya upinzania hata kufikia hatua ya kusahihisha majina ya wahusika. Kuna mtu aliandika jina lake ni Ashimu, akawa disqualified ni msimamizi msaidizi wa uchaguzi akidai aliandika jina lake vibaya. Kwamba lilitakiwa liandikwe Hashim! Kuna vituko kadhaa vililipotiwa kwenye vyombo vya habari kuonesha wasimamizi wa uchaguzi wakijificha ili wasipokee form za wagombea wa upinzania. It wa chaos!
Tume ya Uchaguzi haipaswi kuwekea mgombea pingamizi bali inaweza kukataa kupokea forms za mgombea iwapo hakutimiza vigezo vya kisheria; au anaweza kumshauri mgombea namna ya kutimiza vigezo hivyo iwapo kuna nyaraka zinatakiwa kuongezwa. Siyo kuvizia mgombea ili aje kuweka pingamizi. Hii ni unprofessional/unconvetional way of managing the elections. Hii ni nia ovu (election criminality) yenye njama za kushinda uchaguzi kwa njia haramu (stealig the elections).
 
Yaani ni mambo ya hovyo kabisa. Mkurugenzi wa NEC anaweka pingamizi dhidi ya mgombea halafu anakuwa ndiye mamlaka ya mwisho ya kusikiliza rufaa ya mgombea dhidi ya pingamizi (sick) aliloliweka yeye mwenyewe.

Mwezi mei vyama vya siasa vilipelekewa rasmu ya kanuni hizi ila inasikitisha kuona vyama havikujali wala kuona hatari ya njama zilizofichika ndani ya kanuni hizo.

Ninadhani, hata kama havisemi, vyama vya siasa viko under capacitated au pengine wanaona aibu kutafuta misaada ya policy experts kuwasaidia kuchambua kisha wao watumie refined expert output ku-engage NEC/ZEC.
hili jambo aliliongelea Mnyika, walipewa mda mchache na usipokubali hushiriki uchaguzi, kiufupi vyama vililazimishwa kuridhia huyo utumbo.
 
Back
Top Bottom