Ikiwa Serikali ilijuwa kwamba imenunua meli mbovu ambayo mda wote ingezama lakini iliacha ikaendelea kutumika Hadi ilipopinduka na kuua maelfu ya watu,lengo la kufanya haya ilikuwa ni nini hasa...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na maofisa wote wa Jeshi la Polisi wanapaswa kutekeleza Katiba na sheria za nchi, badala ya kufuata maelekezo ya viongozi ambayo...
Ungelidhani kweli ni mtu kumbe ilikuwa njaa na si dhamiri kama alivyo nabii Lissu
--
Video hii inatoka kwenye mdahalo wa mubashara (live debate) uliorushwa na kituo cha televisheni cha Star...
RUVUMA KUPAA: NDEGE ZA ATCL KUONGEZWA, VYUO VIKUU VIWILI KUANZA OKTOBA,MKANDARASI BARABARA YA NJOMBE KUKABIDHIWA MRADI
Ongezeko kubwa la abiria wanaoingia na kutoka Songea mkoani Ruvuma sasa...
Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu...
Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman?
Gharama ya...
Dangote hapendi usiri usiri na ndiyo maana alisema waziwazi gharama za ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta lakini serikali ya Tanzania haipendi uwazi maana wanataka rushwa. Tumejaa watu ambao...
Kwahali ninavyoiona nahisi tarehe 7/7 siyo siku ya kutoka nyumbani.
Ushauri wa Bure nunua mahitaji ya nyumbani Sasa tena ya kutosha ikifika 7/7 Baki ndani usitoke hata kwenda kununua chumvi...
1. Je Yuko hai?
2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ?
3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae?
4. Au anampa Chakula na kuondoka?
5. Je kama Yuko hai anawaza nini...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali iko tayari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kiongozi au mtumishi yeyote wa umma atakayebainika kufanya matumizi mabaya ya rasilimali za...
Tuna wanasiasa wengi sana wapo kwa maslahi ya matumbo yao tu lakini wana support siasa ambazo moyoni wenyewe wanazipinga. Moja yao ni Prof. Mkumbo na Katambi.
Wote walikuwa wameongea sana huko...
Hamjambo wote!
Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu.
Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?
Maana GenZ wanasema...
Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO...
Wakili Peter Madeleka amesema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka Kikatiba ya kutoa Amri kwa Majeshi au mkuu wa Jeshi la Polisi.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Madeleka amesema...
Ni sifa au dongo?πππ
"...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema
Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Kuna...
Kwa kweli pongezi ziwafikie Kamishna wa DCEA Aretas Lyimo, pamoja na timu yake.Huyu mzee kapiga sana kazi kwa kweli operesheni zimeonekana kuwa na matokeo.
Tofauti na miaka ya 2005 mpaka 2015...
Kuna hii poster ya CCM ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii
Kwa hiyo mikutano ya CCM ni ruksa ila kwa wapinzani nongwa?
Kwao ni ruksa?
Soma Pia: Ufafanuzi kuhusu taarifa ya mkutano wa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ametoa onyo hilo alipokuwa akijibu swali la mwandishi wa habari aliyeuliza kuhusu madai ya baadhi ya viongozi kujilimbikizia mali kutokana na mikopo ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema kutoa Kitambulisho cha Taifa (NIDA) unapotembelea nyumba ya kulala wageni hakumaanishi kuanika taarifa binafsi, kwani kitambulisho hicho...