Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Si kila mnyama wa porini huweza kuvuka msitu wa siasa; ni yule anayejua kufuata njia kwa akili, subira, na ujasiri atakayevuka salama. Ukitaka kuvuka salama, acha ujanja wa Sungura badala yake...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
1 Reactions
10 Replies
760 Views
Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani Mlale unono 😁🇹🇿
1 Reactions
3 Replies
282 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi bila ya kubaguana kwa dini, rangi au kabila na kwamba hayo ni matunda yaliyotokana na...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Ndani ya mbuga ya wanyama, kila mtu ana ombi la kumfanya aishi bila kujali mwenzake. Hawa wabunge waliwahi kuomba wapigiwe saluti, ikashindikana. Karibuni kuna mbunge aliomba wenza wao pia wapewe...
1 Reactions
21 Replies
907 Views
Ni vyema ukiwa kiongozi uache kufanya mambo kwa kurupuka maana madhara ya kufanya jambo fulani bila kupima madhara yake mwishowe kiongozi utaonekana hujui kuongoza au waweza gawa gawa gawa...
1 Reactions
13 Replies
734 Views
Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Ukiondoa marais wawili tu,sitawataja majina Wanne waliobaki hawana asili ya Tanzania. Ndio maana hawana uchungu na nchi yetu
7 Reactions
14 Replies
995 Views
Ni hilo tu Mh David Kafulila aka naniliu Kupitia PPP Ahsanteni sana Mlale unono 🇹🇿😁
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imependekeza kufanyika maboresho ya muda wa kutambulisha wageni waalikwa bungeni ambapo imetaja watakaotambulishwa ni wageni wa kitaifa, kimataifa...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Tutaongea yote ila jiwe ndiye chanzo cha haya yote na ndiye aliyetufikisha hapa tulipo leo. Jini akishatoroka kwenye chupa ni vigumu sana kumrudisha, ni rahisi sana kuboma kuliko kujenga. Kwa...
34 Reactions
111 Replies
4K Views
Nimekua najiuliza, Wabunge si wanaingiziwa fedha za maendeleo ya jimbo. Je, upo utaratibu wa kuwasilisha ripoti ndani ya Bunge kama vile mawaziri katika wizara zao juu ya miradi ambayo...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Habari wakuu, Kiukweli kwa hali iliofikia mtaani chama kinakufa kwa kasi kweli lakini ukiangalia kwa undani raia wanamchukia yeye kuliko chama ila siku zinavonzidi kwenda na chama kinaanza...
3 Reactions
7 Replies
491 Views
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amewataka Vijana wa vyuo vikuu kutumia mitandao kisayansi ili waingize hela badala ya kutumika kukesha mitandaoni wa kutukana Watu na kuzua taharuki Msigwa...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Nguvu ya jambo lolote katika kuamua, ni uwingi wa waamuzi wenyewe Na ndiyo maana, kura nyingi, humpa mtu nguvu ya kuwa mshindi na kutawazwa kuwa kiongozi Tunaona, hata miswaada mingi kwenye...
27 Reactions
140 Replies
4K Views
Katika hali ya kawaida ya kikatiba na kisheria, uamuzi wa kuzuia chama cha siasa kama CHADEMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni suala zito linalogusa moja kwa moja haki za kikatiba za uhuru wa...
3 Reactions
12 Replies
952 Views
Hivi unaweza amini wao wako wachache sisi TU wengi ila sasahivi watangika tinavurugwa nao na tunavurugika? Chama kikuu Cha upinzani chadema kimesimishwa shughuli za kisiasa na wazanziar wachache...
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana...
4 Reactions
17 Replies
814 Views
Ukaaji wake ulikuwa kama lilivyo Bunge la sasa la UK Kazi kazi hakuna story za vijiweni wala umbea umbea Bunge la Dodoma ni kama walimbwende wamealikwa kwenye Fashion show na akina Mr Nzega...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom