Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo...
26 Reactions
112 Replies
9K Views
Kuna tukio moja la kihistoria ambalo linaacha maswali mengi, hasa kwa wana-JF wenye kupenda kuchambua mambo kwa kina. Ni lile tukio ambapo Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt John Pombe Magufuli...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Anaandika Joseph Selasini, aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Rombo (2010-2020). Mbowe anatia aibu. Hao wafuasi wake waliimba kwamba uchaguzi wao ni mfano wa kuigwa. Kumbe dhamira ni...
2 Reactions
12 Replies
891 Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Jaribu kufuatilia michango ya wabunge wa DSM ya Kale yaani Kinondoni, Ilala na Temeke utagundua inaakisi kabisa akili za wapiga kura wao za ukilaza Fanya Utafiti Ahsanteni sana 😁🇹🇿
1 Reactions
9 Replies
396 Views
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya. Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa...
0 Reactions
8 Replies
482 Views
Wasalaam. Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
178 Views
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea! Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Benson Kigaila ameeleza kuwa chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 katika mazingira yoyote akieleza kuwa mabadiliko...
1 Reactions
3 Replies
447 Views
Wakuu, Nakubaliana na hii hoja ya Oscar Oscar Ni kweli kabisa kwamba mijadala ya Bunge letu mara nyingi huibua maswali kuhusu vipaumbele vya Waheshimiwa Wabunge. Lengo kuu la mbunge linapaswa...
0 Reactions
7 Replies
546 Views
Amani iwe kwenu wadau! Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi...
19 Reactions
92 Replies
6K Views
Mwanasheria wa Tundu lissu ndugu Peter kibatala amesisitiza siku ya kukamatwa kwa Tundu lissu na yeye alikuwa Songea. Aidha kibatala anasema ukamatwaji wa Tundu lissu ni wa kihuni na ni utekaji...
32 Reactions
87 Replies
5K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa...
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025, mjadala mkubwa unaendelea juu ya sera za vyama mbalimbali. Lakini swali la msingi ni: Je, vyama vyetu vya siasa vinatilia mkazo masuala...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Wakuu, Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi? Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza...
0 Reactions
9 Replies
729 Views
Kwa kipindi kifupi chini ya mwezi angalia mateso inayopitia Chadema. 1. Tundu Lissu akapewa kesi ya uhaini 2. Chama cha ubwabwa kikapewa uhai 3. Kuongeza nguvu kupambana na CDM 4. Msajili...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
Wakuu, Tutaona mengi mwaka huu Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this? =================== Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka...
3 Reactions
5 Replies
563 Views
Back
Top Bottom