Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,473
41,867
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
 
Ripoti ya CAG inaonesha kuwa Tume ya Ushindani (FCC) imefanya uchunguzi na kuwakuta kampuni za Toyota Tanzania Limited na makosa ya kula njama na kupanga bei ya magari mapya hivyo kufanya bei ya magari hayo kuwa juu kuliko kawaida. Kampuni hizo zimekiri makosa yao na muenendo wa shauri linaelekea mahakamani
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
Si serikali tu, UN wana fleet ya toyota. Toyota wana excel sehem moja tu ambayo brand zingine hazi excel. Reliability and durability , kwa mazingira yetu haya ndio perfect choice
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
😆😆😆😆
 
Toyota yuko smart kwa mazngira ya afrca pia anatengenezeka kwa urahis tofaut na zaman serkal ilkua inachukua landrover na isuzu spare zkawa mtihan, saiv toyota yuko na delers wake kila mkoa tanzania na anam a sure serkal ikinunua gar kwake mpka kl 70000 inafanywa na toyota bure.. pia n gar ambazo hata bigner drever n rahis kuzioperate bila kuinokisha injin tofaut na izo kampun zngne ulzoztaja
 
Unataka waanze kuagiza G-Wagon 🐼

569701-brabus-deep-blue-900-g63-comes-with-matching-boat-and-watch.jpg
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?

Litakuwa ni deal la watu. Usije kuta kuna madalali hapo.
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
kupanga ni kuchagua 🐒
 
Nissan, Landrover na yale ya Korea
Mkuu naona hauko serious. Hapo hakuna gari ya kulingana na Toyota kwa uimara. Nakubaliana na hoja kwamba tunapigwa sana kwenye bei, nadhani tunapigwa kwa sababu sisi wenyewe tunapenda kupiga cha juu kwenye kila tenda, lakini kwa ubora na uimara Toyota ni #1.
 
Tanganyika tunazimiss European cars
Sema toyota alilipiku soko la magari tz

Ova
 
Huo ni mkataba baina ya serikari ya Tanzania na Japan kwamba nchi itanunua magari yake kutoka Japan. Umeona magari tu ila Kuna bidhaa nyingi za kimikataba baina ya nchi na nchi. Sasa umepata jibu ya Ile misaada tunayopewa ama kutoka Kwa wazungu au watu wa Asia kwamba ni sehemu ya faida wanayopata Kwenye biashara kati yetu.

Mfano, China ameingia mikataba na nchi nyingi za Africa, America ya kusini na Asia katika masuala ya ujenzi wa miundombini. Sawa na kusema kwanini wachina wanajenga viwanja vingi vya michezo katika bara la Africa.
 
Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA.

Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA.

Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine?

Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi TOYOTA wasingetuuzia magari kwa bei hizi za kuumiza wananchi.

Kila mwaka maelfu ya gari yanaingia nchini kwaajili ya matumizi ya serikali yakitokea TOYOTA.

Hapa kuna mchezo mchafu unafanyika?
Siyo kila muuzaji anahonga 10%
 
Back
Top Bottom