Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25...
ulinzi wa wa leo wa namba 1 ulikuwa kabambe kwelikweli.
Mara ya mwisho ulinzi wa aina ya leo ulionekana miaka minne na ushee iliyopita chini ya mwandamizi himself.
Hatujazoea kuona hivyo!
Watanganyika mwaka huu wameamua kudadadeki!!!
Muda mchache uliopita ITV wamepost kwenye page yao ya Facebook taarifa hii;
Watangayika bila hofu yeyote, Vijana, Wazee, Wamama na Wababa, Wakristo...
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===...
Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na...
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika...
Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani.
Wito huo...
copy and paste.............AIONE JAJI HAMIDU MWANGA
TANZANIAN JUDGES AND THE PROTECTION OF HUMAN RIGHTS
Posted on May 1, 1995
THE LAW has a vital role to play in the current transformation of...
MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA.
▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10
▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri
▪️Wampongeza Rais...
DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea...
Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao...
https://www.youtube.com/watch?v=FjEgNyaaqNI
Seneti imetoa saa 2 tu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Inspekta Jenelari wa Polisi kufika bungeni kuelezea kifo cha Albert Ojwang
Kuhusu kifo cha...
Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa.
Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu...
Wakuu,
Kumbe hata huko kwenye Jeshi La Polisi kuna watu bado wana uungwana?
Huyu hata akifukuzwa kazi huko Polisi wananchi simameni mumchangie.
Soma Pia: Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga...
Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO.
Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha...
wakuu
Ni kama October Tunatiki imeanza kupenya na No Reforms No election inasahaulika
=====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Katavi Ndg. Amir Said Katalambula amewasihi Wananchi wa Mkoa wa Katavi...
Chadema jiandaeni mapema wenzenu hawatanii tena, mali zenu zitakua seized na watapewa hao wengine. Ukweli huu mtauchukia lakini mtakutana nao
Mlisema yule mzee ana busara, ni kiongozi mara ni...
Visiwa tajwa hapo juu vina bahati sana.
Vina serikali yake
Vina wabunge wake kwenye bunge la muungano,
Vinaendeshwa na fedha toka Bara
Vina mamilioni ya watu wake Bara
Vina watu wenye uraia pacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.