johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Nauliza tu maana muundo wa Chadema na sera yake ya Majimbo imekaa kitanganyika mno
Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani
Mlale unono 😁🇹🇿
Sidhani kama Zanzibar kuna hivi vyeo vya akina Sugu na Wenje eti Mwenyekiti wa Kanda fulani
Mlale unono 😁🇹🇿