Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nasikia kuna wabunge wanawatetea wenye vyeti feki, binafsi naomba serikali iongeze ukaguzi wa vyeti feki vya digrii serikalini. Utendaji mbovu unaojadiliwa baada ya Assad kuzungumzia uzoefu wake...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba nionyeshe Furaha yangu pale chama cha kisiasa kinapokuwa kikijinadi zaidi kuliko kulalama, kana kwamba kinaonewa chenyewe tu! (kinalia lia)
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Najua kuwa hata kulipa amelipa sana madeni aliyoyakuta Ndio nauliza tu kuna Waziri amekopa zaidi ya huyu waziri wa sasa? Rafiki yangu Prof Kighoma aliwahi kuniambia anaogopa sana kukopa Jumaa...
2 Reactions
1 Replies
195 Views
Naomba sana Mama yetu sisi walimu utumumbuke kwa kuongeza mishahara mwaka huu!Kumbuka mwaka juzi ulitupanga tu!Kumbuka mwaka huu tunafanya masmuzi kwenye box
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Habari za jumapili; Kuna mgongano wa makundi mawili; Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi? Kila...
14 Reactions
233 Replies
9K Views
Wakuu vipi uko kwenye majimbo yetu? Imekua tabia ya viongozi wengi kuonekana kipindi cha uchaguzi wakihitaji kura kutoka kwa wananchi huku wakitoa ahadi nyingi za maendeleo, ambapo baada ya...
1 Reactions
2 Replies
432 Views
Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba...
22 Reactions
85 Replies
5K Views
Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala...
53 Reactions
54 Replies
4K Views
Nabii Mussa Richard Mwacha Maarufu kama Kuhani Musa, amesema kuwa Tanzania imekuwa kitovu cha amani barani Afrika, na hivyo kuwa kimbilio kwa watu kutoka mataifa jirani wanaokumbwa na machafuko...
0 Reactions
3 Replies
411 Views
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amemtaka Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Edwin Swalle, kuacha kulizungumzia sakata la mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, kwa kuwa tayari suala hilo...
2 Reactions
5 Replies
719 Views
Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na...
3 Reactions
19 Replies
932 Views
Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai...
39 Reactions
78 Replies
5K Views
Akiwasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/26, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ameweka...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
"Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta...
27 Reactions
47 Replies
3K Views
Ukifuatilia muitikio wa agenda wa No Reform No Election utagundua kuwa ni agenda yenye umaarufu kupita chama chochote cha siasa! Muda mrefu sana ukihoji watu sababu ya kutopiga kura utasikia hata...
4 Reactions
5 Replies
573 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao. Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha...
28 Reactions
121 Replies
8K Views
Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom