==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia...
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake.
Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha...
Poleni Sana Watanzania.
Mpo kwenye MSIBA mkubwa.
Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni.
Ila VIONGOZI wa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.
Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa...
Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli.
Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya...
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa...
Wakuu,
Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.
Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani...
Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha.
Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya...
Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu!
Kuna namba imewekwa hapo...
Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe...
Kumbe WHO ilianzisha tuzo ya Africa na Dr.Mwele Malecela kuenzi na kutambua mchango wake kwenye sekta ya utafiti wa magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaombele.
Mtanzania Dr.Basiliana Emidi wa...
Wakuu,
Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa
Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya...
Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ametahadharisha umma dhidi ya kauli mbalimbali zisizothibitika kuhusu usalama wa raia na mali zao zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi.
Dkt...
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul.
Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema...
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo...
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya...
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Kwenye ukweli huu wanaweza kuja hapa na kujipiga kifua na kujimwambafai kwamba hawajaamua tu, lakini ukweli upo wazi tu. Hivi hata ukiwataza kwa sura tu walivyo, kama mdau wa maana sana wa jukwaa...
Ndugu zangu Watanzania,
Namshauri sana Askofu Gwajima atoke hadharani aombe msamaha kwa yale yote aliyoyafanya. Amuombe msamaha Rais wetu Mpendwa ambaye Ni Mama mwenye huruma na Upendo , Ni Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.