Mwenye ile Barua iliyosambazwa kuhusu kufungia Kanisa hilo aiweke hapa tumjue aliyesaini ili tujue anakowajibika tuwaunganishe wote na laana ya Mungu.
Kiherehere wa mwanzo kabisa ni RPC wa Mbeya...
Noam Chomsky, mmoja wa wanafikra wakubwa wa zama zetu, ameandika sana kuhusu propaganda na jinsi serikali pamoja na vyombo vya habari vinavyotumia mbinu mbalimbali kuwadhibiti wananchi kwa kuwapa...
Wasalaam.
Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado...
"Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko...
Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze...
Kama Rais ssh angekuwa anapokea malalamiko na ushauri wetu na kuvofanyia kazi haraka na vilivyo, ni mawaziri gani ungetaka na kushauri watumbuliwe haraka?
Nianze na 'Dr' Mwigulu Nchemba
Naomba...
Rais Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi leo Mei 28, 2025 Jijini Dodoma amesema;
"Tukio hili la kuweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi ya Chama Cha...
Dhoruba iliyotokea sisi wengine tukasema hapana. Tukasema hapana kwasababu tunazizuia akili zetu zisitawaliwe na mihemko, tunazizuia akili zetu zijawe na sifa za kuja mbele za watu na kupigiwa...
"Mama of wisdom became a leader over a country of uncultured people, not to rule them with scorn, but to teach them that greatness is not inherited, it is learned." — Alloyce, P.R.
Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa.
Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa...
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma...
Mbunge mstaafu mh Seleman Bungala amesema Siasa ni biashara inayolipa sana hasa Ukiwa mbunge au mwenyekiti wa Chama taifa
Bwege amesema wenyeviti wa vyama vya Siasa wanafanya biashara kubwa sana...
Mawakili wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania, Peter Kibatala na Gloria Ulomi wakiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma kwenye kesi ya kupinga kufutwa kwa kanisa hilo. Wengine ni viongozi wa...
Mbunge mstaafu wa Kilwa mh Seleman Bungara aka Bwege amesema haitafika mwezi August kabla Mbowe “ hali si” hajajulikana kama ni Bata au Kuku
Kwa kawaida Bata hutanguliza WATOTO mbele ( Chaumma...
Wasalaam.
Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua.
Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria...
Kuna vitu na mambo ukiyatafakari yanaumiza na kutia hasira mnoo.
Hii nchi ina laana?
Nini logic ya deni la taifa kuzidi kuongezeka kwa speed ya ajabu kuliko kipindi kingine chochote na wakati huo...
1. Kiswahili – Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi 💪
2. Kifaransa – Pas de réforme, pas d’élection 💪
3. Kihispania – Sin reforma, no hay elección 💪
4. Kijerumani – Keine Reform, keine Wahl 💪
5...
Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.