Marehemu Dkt. Mwele Malecela aendelea kuenziwa na WHO. Huyu ndiye aliacha legacy

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,117
49,840
Kumbe WHO ilianzisha tuzo ya Africa na Dr.Mwele Malecela kuenzi na kutambua mchango wake kwenye sekta ya utafiti wa magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaombele.

Mtanzania Dr.Basiliana Emidi wa NIMR ni miongoni mwa wanasayansi 10 wa Africa walioteukiwa na WHO kupata tuzo ya Mwele Malecela (MMM).

View: https://twitter.com/NIMR_Tanzania/status/1699694152311599533?t=seqGOdWgCHRsVArkfZPyOA&s=19

My Take
Ukisikia legacy za kulinda ni kama hizi za kina Dr Mwele, sio zile za kulazimisha za madaraja na blaa blaa zingine.

View: https://twitter.com/NIMR_Tanzania/status/1699844674473677028?t=d8uj0veMkYhckqEg2h6bEg&s=19
 
Hivi jiwe alikufanya nini?
 
Dikteta angekuwa hai angebamiza komwe lake ukutani kwa hasira!!
 
Back
Top Bottom