Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa Mabalozi (kushoto kwake) mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden tarehe 12 Juni, 2025, jijini Stockholm.
Balozi Matinyi aliambatana na maofisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden: Ofisa Mambo ya Nje Mwandamizi Tunsume Mwangolombe (wa kwanza kushoto); Ofisa Mambo ya Nje Mkuu Malik Hassan (wa nne kutoka kulia); Ofisa Mambo ya Nje Mwandamizi Abel Maganya (wa tatu kutoka kulia) na Mwambata wa Utawala Yunge Massa (wa pili kutoka kulia).
(Picha na Lisa Raihle Rehbäck wa Ofisi ya Kasri la Mfalme wa Sweden).