Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura ameyasema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa...
12 Reactions
171 Replies
8K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPC, David Kafulila kupitia ukurasa wake wa X ameandika "Deni la nje TZ liliongezeka kutoka usd 24bn mwezi Machi2021 mpaka usd30bn Juni2024[ yaani usd6bn) sawa na...
5 Reactions
117 Replies
4K Views
== Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia...
14 Reactions
127 Replies
5K Views
John Heche amekuwa na ushawishi mkubwa sana kisiasa. Akiongea majukwaani mioyo ya watu inatetemeka namna anavyoongea kwa uchungu juu ya taifa lake. Combination ya Lissu na Heche ni jibu tosha...
44 Reactions
122 Replies
6K Views
Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa...
2 Reactions
9 Replies
543 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025. Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Takribani miaka minne toka Rais mrithi wa awamu ya tano B apokee kijiti baada ya kifo cha aliyekuwa Rais na mtawala wa Tanzania John Pombe Magufuli. Kipindi cha miaka minne ya mwisho ya Awamu ya...
1 Reactions
5 Replies
471 Views
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa Kasri la Mfalme wa Sweden (wa pili kushoto na wa mwisho kulia) na Ofisa Msindikizaji wa...
0 Reactions
1 Replies
409 Views
Wakuu, Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje. Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani...
23 Reactions
72 Replies
5K Views
Maisha ni siasa,bila Siasa hakuna maisha. Unapozuia siasa unazuia maisha. Damu ya Maisha ni siasa,unapozuia damu isitembee kwa wiki mbili,unazuia uhai wa maisha yanayoendeshwa kwa misingi ya...
3 Reactions
11 Replies
565 Views
Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu! Kuna namba imewekwa hapo...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kufuatana na Bajeti ya Serikali ya 2025/26 iliyosomwa na Mhe. Waziri wa Fedha kuanzia 1 JulaI, 2025 HOTEL lEVY itatozwa kwa kiwango cha 2% badala ya 10%. Hivyo kwa Halmashauri zote mnatakiwa muwe...
5 Reactions
7 Replies
919 Views
Kumbe WHO ilianzisha tuzo ya Africa na Dr.Mwele Malecela kuenzi na kutambua mchango wake kwenye sekta ya utafiti wa magonjwa ya kitropiki yasiyopewa kipaombele. Mtanzania Dr.Basiliana Emidi wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya...
5 Reactions
8 Replies
741 Views
Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba ametahadharisha umma dhidi ya kauli mbalimbali zisizothibitika kuhusu usalama wa raia na mali zao zinazoweza kuhatarisha amani ya nchi. Dkt...
6 Reactions
162 Replies
15K Views
Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema...
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega. Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo...
16 Reactions
60 Replies
4K Views
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata" ===== Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika; "Sikusema maneno haya...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Back
Top Bottom