Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Naomba kuanza kwa msisitizo wasomaji wa andiko hili, waione alama ya kuuliza, (?) kwasababu mimi mwenzenu, niliwahi kuitwa...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
=== Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila...
28 Reactions
200 Replies
7K Views
Wakuu, Kwa wale wapenda demokrasia na utawala wa sheria leo itakuwa siku nzuri sana kwao =========== Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imeamua kufuta vifungu vya sheria vilivyokuwa vinazuia...
27 Reactions
54 Replies
4K Views
"Ukitaka kufanya siasa safi hapa Mkoa wa Mara lazima tuambiane ukweli na kama ni jipu tulitoboe, tulikamue, tutoe kiini na mimi ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Makosa ya uhaini, Mara nyingi hutafsiriwa kama nyanja ya mahusiano baina ya Serikali na raia wa nchi husika. Raia wa nchi husika anapofanya vitendo vya hujuma dhidi ya taifa lake huyo huhesabiwa...
24 Reactions
197 Replies
23K Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Msije kusema hamkuambiwa, Julai sio mbali. -- Serikali ya Tanzania imependekeza kuanzisha ushuru wa zuio wa asilimia 10 kwa mapato yaliyobaki (retained earnings) ambayo hayajasambazwa kwa...
9 Reactions
70 Replies
4K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemshukuru na kumpongeza Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mstaafu Prof. Ibrahim Hamis Juma, kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kukuza ushirikiano wa Mahakama...
-1 Reactions
11 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli kama unapewa Fedha ili umpigie Kura fulani hapo unakuwa hujachagua ila umemuuzia Kura yako Mbele ya safari huwezi kumdai maendeleo wala Uzalendo Ahsanteni sana
0 Reactions
2 Replies
185 Views
Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi; Kinachonipa hofu ni...
5 Reactions
12 Replies
760 Views
Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election. Kiukweli mitandaoni...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
1 Reactions
11 Replies
693 Views
Rais Samia anafanya ziara mkoani Simiyu Juni 16, 2025 Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Wakuu huyu jamaa kitwanga alikuwa mtu wa karibu sana na Magufuli nilitegemea angesamehewa maana pombe sikuona kama sababu Sana labda kama alikuwa na ishu nyingine za lugumi co.yuko wapi mwamba huyu
0 Reactions
7 Replies
722 Views
Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala. Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu. Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa? Wacha tuone nini kitajiri...
24 Reactions
202 Replies
24K Views
Hawa jamaa hawataki kabisa ushindani na sasa wakihisi unataka kuwatikisa unatafutiwa sababu ya kuwa blocked, sasa wanakublock usiende kanisani, usihutubie watu wako wala usihubili chochote...
4 Reactions
8 Replies
518 Views
Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe. Wiki mbili zilizopita kwenye safu hii niliandika mada ya kumpongeza Spika wa Bunge, Dr. Tulia, kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye Mabunge...
3 Reactions
10 Replies
726 Views
Serikali kupitia Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia May22,2025 hadi June 21, 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini...
1 Reactions
3 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…