Bwege: Mbowe anachikifanya ni kama mchezo wa Bata

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
5,316
Reaction score
7,304
Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata.
Kuhusu uchaguzi alishauri chama chake act kisishiriki uchaguzi lakini maamuzi ya wengi yaliamua washiriki uchaguzi.

Je hili linaukweli?
Binafsi naamini hili linaukweli asilimia 90.

Tusubiri mwezi wa nane.
 
Tena Bata asiye na Akili
 
Ila kwenye siasa bila kumtaja Mbowe hakuna ladha ya upinzani,huyu kiungo muhimu kwenye siasa za upinzani,hata mkipinga ukweli ndio huo.Hata kama ana madhaifu bado ni muhimu
 
Mbowe kawatanguliza wenzake kwanza anausoma upepo
1000040288.jpg
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, mwamba tuvushe imekuwa mwamba tuangushe, wanakanyagana
 
Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala.
Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata.
Kuhusu uchaguzi alishauri chama chake act kisishiriki uchaguzi lakini maamuzi ya wengi yaliamua washiriki uchaguzi.

Je hili linaukweli?
Binafsi naamini hili linaukweli asilimia 90.

Tusubiri mwezi wa nane.
Bwege yuko sahihi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom