Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu...
4 Reactions
3 Replies
457 Views
Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa, Soma...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kauli ya Mh Rais kwa wananchi wa kisesa dhidi ya mbunge wao imekaaje ovyo sana. Yaani Rais anawataka wananchi wa kisesa kuchagua mtu mwingine sio mpina kwa madai ya mpina kuzungumza utsifa na sio...
1 Reactions
2 Replies
303 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
5 Replies
455 Views
Hii nimeona huko Kenya Prof mmoja akiwaeleza wafuasi wa Kenya Kwanza Je, unakubali kunakuwaga na Amani ya Mchongo? Ahsanteni sana 😁
0 Reactions
5 Replies
213 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dodoma 2022-2023) Salum Ismail Salum ametangaza nia yakugombea ubunge jimbo la Kahama Mjini baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya...
2 Reactions
10 Replies
522 Views
Ukiangalia kwa jicho la tatu utajua namaanisha nini? Kila anaposimama na kusema anajikuta anaharibu hali ya hewa ya siasa za CCM. Kwa sasa CCM imekufa kimebaki kikundi cha "machawa" kwa uchache...
10 Reactions
87 Replies
4K Views
https://www.instagram.com/p/DLBFynBNSSq/?igsh=NDU1NDkwY2xjMDBz
1 Reactions
5 Replies
420 Views
Utaratibu wa kusafirisha watu kwa malori ni fedheha na ukiukaji mkubwa wa utu wa binadamu. Jana, Rais Samia alieleza kwa masikitiko kuhusu vifo vya vijana wanne waliopoteza maisha kwa ajali ya...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Hongera sana Jaji Mkuu Masaju kwa uteuzi wa kuwa Jaji mkuu wa Mhimili ambao angalau unafurukuta kusimamia majukumu yake kwa kiwango fulani. Uteuzi huu sina shaka utakuwa umezingatia vigezo na...
0 Reactions
2 Replies
318 Views
Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Tumeona toka kwa ndugai kusema wazi hadi kushinikizwa kujiuzulu, tumeona kwa gwajima mwenyewe kukemea wazi utekaji , tumeshuhudi ya kanda ya ziwa kwa Mpina? Wanakosoa kwa kujenga taifa au kwa...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
CHADEMA tunapenda tusomeke kuwa sisi ni wapigania haki na pia tunaheshimu misingi ya sheria na utawala bora hivyo tuna wajibu wa kuheshimu maamuzi ya mahakama katika misingi iliyo ya haki na kweli...
15 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa sana Stephen Wasira Ameunguruma na kuitetemesha Geita. Ametoa ujumbe Mzito Sana ulio wabubujisha watu machozi ya furaha. Embu...
-1 Reactions
5 Replies
398 Views
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan. Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi...
48 Reactions
173 Replies
8K Views
1. Wana Simiyu mmetuheshimisha nchi nzima. 2. Ziara imefana mno. 3. RC apandishwe cheo, inshallah, kapambana. 4. Oktoba tunatiki, 5. Mpina tafuta kazi nyingine.
2 Reactions
9 Replies
463 Views
Watu walio karibu na Tundu Lissu wamshauri ajisalimishe kwa serikali ya CCM atoke magereza tu, hakuna atakachofanikisha kwa Tanzania ya sasa kwa kuendelea na msimamo wake huo, hakuna watu wengi...
9 Reactions
145 Replies
4K Views
Au atafanya kama alivyofanya Nelson Mandela?. Kila nikifuatilia taarifa za kinachoendelea kwa Mwanasiasa huyu na yanayosemwasemwa kuhusu kaliba yake kwamba hupenda kuwashughulikia wanaoshughulikia...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Hapo siyo mshakamani, hivyo haulazimiki kutafuniwa kila kitu. Kupitia taarifa hiyo kwa umma, viongozi walilaumiwa. Kupitia taarifa hiyo unaweza ukapata picha ni wapi vinatoka vile vikundi vya...
3 Reactions
6 Replies
432 Views
Back
Top Bottom