Kuna wakati huwa Nawaza kama siyo Bilionea Turkey kumkodia ndege Lissu alipopigwa marisasi na mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa kukaa zero distance na mgonjwa sijui ingekuwa vipi?
Hakika moyo wa...
Hawa ndio wataacha alama ya milele kwa Taifa la TANZANIA
Watakumbukwa kwa vizazi na vizazi miaka mingi ijayo
Nyerere atakumbukwa kwa uadilifu.
Magufuli atakumbukwa kwa uthubutu wa kufanya...
Katika mipasho ya Mama kwa Mpina, alidokeza kwamba wasimteue kugombea ubunge ili yeye amfikirie katika nafasi ya viti maalum vya Wabunge. Wenye akili tunatambua kuwa raisi alikuwa anamtafutia...
Makosa makubwa sana kumpa samia kuwa mwenyekiti wa CCM juzi hapa amevunja katiba ya chama hicho vijana chipukizi wanajifunza nini ?
Kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa uraisi hakufuata katiba...
Yaani kwa yote yaliyotokea kwenye chama kilichoaminika zaidi kwa Upinzani nchini Chadema halafu ukakaza fuvu kuufagilia huu Upinzani wa mchongo basi lazima utakuwa umerogwa na Yule mganga maarufu...
Kwenye news kubwa za leo, limetokea jambo si la kawaida.
Mheshimiwa ameghadhibika vibaya mno kuambiwa laivu na Mbunge wa Kisesa kwamba wewe sisi huku tunakudai, na wanaosema hawakudai leteni...
Habari wakuu,
Rais Samia anaendelea na ziara zake huko Kanda ya ziwa,leo kwenye moja ya mikutano yake huko ameraruana na Luhaga Mpina mbunge wa Kisesa.
Wakati Luhaga Mpina anazungumza wananchi...
GTs,
Ndugu Mongella amesema Mwenyekiti awaachie vijana washughulike na wakosoaji wake awaita hawana akili. Maana yake sijui tutegemee nini sasa kwa akina Mpina na Gwajiboy?
Kwa Lugha nyingine Tanzania ndio Ina deni dogo kuliko Nchi zote za Afrika Mashariki na pia ndio itatumia kiasi kidogo Cha Bajeti yake Kulipa madeni.
Mchanganuo uko hivi ,
1.Kenya Italipa...
PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE?
Anaandika, Robert Heriel.
Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata...
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.
"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna...
Tuseme kidogo juu ya Waziri Bashe, aliyesoma Ushirika, lakini anapenda aitwe ni mchumi.
Aliingia wizara ya Kilimo kwa nadharia mfu za BBT. Akapiga keleleee! Eti akukusanya vijana mijini ili...
Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi...
Huo ndo ukweli mchungu ,
Viongozi ndo picha ya halisi ya JAMII husika
Akili kubwa haiwezi kukubali kuongozwa na akili NDOGO
Vipaumbele vya viongozi ni vipaumbele vya jamii husika
Tunalaumu...
Rais wa TFF Wallace Karia wa kipindi cha Rais Magufuli ni tofauti kabisa na Wallace Karia wa kipindi cha Rais Samia, au ndiyo anakula kwa urefu wa kamba?
Wallace Karia wa kipindi cha Rais...
Rais Samia ameanza kuiga mambo ya mtangulizi wake aliyekuwa anakwambia wananchi yakuwa hawana naendeleo kwa sababu walichagua upinzani.
Sasa Rais Samia amemchukia mpina kisa kusema ukweli
Kwa...
Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !!
Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika...
Yapo Manung'uniko kwamba Mabadiliko ya sasa ya baadhi ya Maofisa wa Jeshi la Polisi yamechagizwa na Madhara ya Mikutano ya Chadema ya No Reforms No Election.
Taarifa za ndani zinaeleza kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.