Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi. Akizungumza katika Kongamano la...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Tuzidishe maombi na yeye azidishe kujikomba! Asikate Tamaa!
2 Reactions
12 Replies
605 Views
Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza. Mienendo yake...
3 Reactions
106 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Lissu Amesahaulika kabisa mitaani,hakuna anayemzungumzia wala kumjadili wala kumkumbuka wala kuwa na habari naye. Hakuna anaye fikiria hata kama yupo gerezani . Watu wapo...
2 Reactions
335 Replies
10K Views
Hii ni dharau kwa Wasukuma Kuwasomba kwenye mikokoteni halafu mnawachinjia ng'ombe na kondoo misikitini ili kuwalisha . Ila mabalozi wa nyumba tisa ya kumi ni ya mjinga mnawapa BAISKELI...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku zote bunge likivunjwa taratibu za uchaguzi zinaanza. Toka January mabunge yote mawili yalitoa ratiba zao. Bunge la wawakilishi lilitangaza kuwa litavunjwa tarehe 23 June, uku Tanzania bara...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Waziri Kombo ahitimisha ziara nchini China Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini China...
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais...
19 Reactions
127 Replies
22K Views
Wakuu ===== Leo nimeamka na CCM, Nasikia sikia kuna watu wanapitisha viela vyao ili kuwadanganya,naomba niwaambie kitu kimoja,wakileta hizo pesa zao pokeeni na kuleni lakini ikifika wakati wa...
1 Reactions
8 Replies
579 Views
Utangulizi Mradi wa Viwanja Nala Dodoma, unaojulikana kama Miss Amazing, umejaa utata na malalamiko. Huu ni mradi ambao unawahusisha wananchi katika ununuzi wa viwanja vya mamilioni, huku...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge watapiga kura kupitisha bajeti kuu ya Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi...
3 Reactions
11 Replies
435 Views
Kuna tetesi nimezipata mahali kuwa JWTZ imeliagiza JKT kuacha mara mmoja kuandikisha vijana jeshini kwa Vimemo kutoka kwa wanasiasa. Unakuta Mwanasiasa moja analeta majina ya ndugu 100 kupitia...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
In the context of politics, a cartel refers to a group of political parties/individuals that collaborate to maintain their power and influence within the political system, often by limiting...
2 Reactions
4 Replies
415 Views
Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Vita ya ubunge Korogwe Mjini ya moto, Eng. Omary Mungia ambaye ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Korogwe mjini na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Tanga. Jina la Eng.Mungia si...
0 Reactions
3 Replies
431 Views
Nimekumbuka mwaka 2009 huko Korea ya Kusini Rais wao Roh Moo-hyun alijiua. Wale walinzi huwa ni kwa ajili ya maadui wa nje au hata dhidi yake mwenyewe?
4 Reactions
13 Replies
862 Views
Katibu wa Mafunzo, Uenezi na Siasa wa CCM Mkoa wa kilimanjaro, Abraham Urio, amesema Tsh Billioni 188.59 zatolewa kwa shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Kilimanjaro iliyowezesha shirika hilo...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…