Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lilikuwa ni swali zuri sana Kwako Benjamin Netanyahu 😁
0 Reactions
7 Replies
451 Views
Baada ya kusambaa kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa vijana wawili wanaojulikana kama Wachokonozi, yaani Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo, wametekwa na watu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
"Kila mwendo unaoulazimisha hubeba mizigo ya wengine, si ndoto yako. Epuka kuishi kwa kasi ya matarajio ya watu, ukasahau mwito wa dhamira ya akili yako." — Alloyce, P.R.
3 Reactions
6 Replies
500 Views
TAARIFA MUHIM KUHUSU UJIO WA MAKAMO WA RAIS WA ZANZIBAR NCHINI UINGEREZA https://m.youtube.com/watch?v=TeONBDWdOvA Futailia utambuwe kila kinachotakiwa au kufahamika kuhusu ziara ya Makamo wa...
3 Reactions
4 Replies
739 Views
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka...
42 Reactions
94 Replies
4K Views
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania Jerry Silaa akifanya mahojiano katika kipindi cha Cafe Talk yaliyofanyika mapema leo jijini Dar es salaam. ameeleza kwa kina na kutoa sababu iliyoplekea...
1 Reactions
8 Replies
790 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo isihaka mchinjita anasema iwapo watashinda kiti cha Urais, jambo la kwanza hawataligeuza Eneo la Tanganyika Packers Kawe kuwa eneo la Mtume Mwamposa kuombea...
3 Reactions
12 Replies
926 Views
My Take Naunga mkono hoja. Mambo ya kulazimisha watu kwenye vikundi ni upuuzi,Wala myhamimishe mtu mmja mmja na wazamini wake Ili pesa imwagike watu wapige kazi. ============ Rais Samia Suluhu...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, Nipo nafatilia Hotuba ya Luhaga Mpina Mkutano mbele ya Maelfu ya Wanakisesa . Huyu MPINA anapendwa sana ,umati mkubwa ulojaa hapa umethibitisha ubora wake wa kiutendaji, hakika watu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Great Thinkers Katika siku zijazo, historia ya taifa letu Tanzania itakumbwa na upepo wa toba na maridhiano ya kweli. Rais ajaye baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuomba msamaha wa...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Inaonekana sababu CHAUMMA wamekuwa “kimya” ni kwamba hawajakuwa na shughuli za kampeni au matukio makubwa ya vyombo vya habari hivi karibuni. Katika miezi ya hivi karibuni: Chamsha taarifa tu...
2 Reactions
14 Replies
974 Views
Alichosema Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya No reform no election sio sahihi. Sababu mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyofanyika 2024 hayajakidhi vigezo vya kuwa na tume huru ya uchaguzi...
1 Reactions
3 Replies
429 Views
Kwa kumteua wasiyemtegemea kuwa kiongozi mkuu, basi thank God hawataipendelea ccm cum serikali...watatoa haki au hata pengine kuikandia
1 Reactions
2 Replies
282 Views
Friends and our enemies, Naanza na maaskofu, nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana.. Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi? Tambueni kazi yenu ya kuwa...
-1 Reactions
164 Replies
7K Views
Naona WanaCCM hawataki kuwa na katiba kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji warioba. Mfano , taifa letu kuwa na Mawaziri wasio wabunge na hata kuwa na tume huru ya uchaguzi. Kwa katiba hii na...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameanza rasmi kampeni ya kufungua barabara za mitaa kwa mtindo wa kitongoji kwa kitongoji, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuboresha miundombinu na kurahisisha...
0 Reactions
6 Replies
481 Views
WAZIRI KOMBO AMUAGA BALOZI WA ANGOLA Balozi wa Angola anayemaliza muda wake, Mhe. Sandro De Oliveira amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
https://www.facebook.com/share/v/1B6PKnEax7/ Video inajieleza.
3 Reactions
9 Replies
555 Views
Nimeshangaa sana Waziri wa ulinzi wa Mareni mh Pete kusema hawakutaka Chawa wajue mpango wa kushambulia Irani Nimeogopa sana 🐼
1 Reactions
26 Replies
1K Views
CCM Kwa aina ya Maisha yao ya nyuma na Sasa, Hofu kuhusu nini kitakachotokea mbeleni ndio inayowafanya wawe wagumu wa Mioyo Kuruhusu Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Ofcoz Kuna mambo ambayo ni...
4 Reactions
9 Replies
566 Views
Back
Top Bottom