Katika jamii nyingi za Kiafrika, hususan katika mataifa yanayoendelea, mwananchi wa kawaida amewekwa kwenye mzunguko wa ujinga wa kimfumo, ujinga ambao hauhusiani na kutokujua kusoma na kuandika...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amesema anashangazwa na kauli ya “No reforms, no election” ikizingatiwa kuwa mabadiliko ya kisheria yaliyopendekezwa na vyama vya siasa tayari...
Watanzania wamehimizwa kuhakikisha wanashiriki uchaguzi Mkuu ujao ifikapo mwaka 2025 Oktoba huku wakiaswa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na kutoiga mataifa mengine ambayo yanaingia kwenye vurugu...
Leo, June 21, 2025, JNICC katika kongamano la sheria kuelekea uchaguzi mkuu, lililoandaliwa na Chama cha mawakili wa serikali, Mh. Jakaya kikwete, amesimulia kisa cha kufikirisha sana.
Kwakifupi...
Kiukweli katika marais wote ni mzee Mwinyi tu ndiye alipokea nchi ikiwa hou bin taaban kiuchumi
Akajitahidi kuiinua na sasa ndio unawaona hadi Wanasiasa wa viti maalum wanaota vitambi na ndevu...
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
Watu ni wengi sana na bado wanaendelea kumiminika
Mwili wa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio...
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amezuiwa kushiriki kipindi cha Cafe Talk kitakachofanyika kesho Juni 22, 2025 jijini Dar es Salaam.
Taarifa kutoka kwa wanandaaji wa kipindi hicho...
Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa idadi ya Wajane ni takriban millioni 258 kati ya hao, Wajane 115 millioni wanadhulumiwa, wanafanyiwa ukatili, wanakabiliwa na umaskini na kutengwa na jamii...
Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika.
TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu...
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia...
Kwa wanayoangalia haya mambo yanavyokwenda Kuna namna wananchi wameamka na kuelewa kinachoendelea kwaiyo sasa ni rasmi kuwa watanzania si wajinga tena kwenye mambo ya siasa. Wanajua kutofautiasha...
Askofu Gamanywa amewataka watanzania wasome kitabu cha Ezekiel ndani ya Biblia sura ya 39 kisha watubu dhambi zao zote
Askofu Gamanywa amesema baada ya vita hii ya Israel na Iran itaundwa...
Akizungumza katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, Mwenyekiti wa chama hicho Dorothy Semu amesema,
"Kwa mwaka mwengine tena tunaenda kwenye uchaguzi...
Ndugu zangu Watanzania,
Picha inaongea,picha inazungumza,picha ina maana kubwa sana,picha moja pekee ni zaidi ya maneno Elfu moja.
Hapa Ni Rais wetu mstaafu Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho...
Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake...
Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.