So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi
Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma...
Kumbe namba 5 alihujumiwa Sana
Hajawai fanya tukio lolote baya la hatari bila ushauri
Kumbe hakuwai kuteka Wala kulawiti ila wapambe walitumika Kama double agent na Maadui zake ili kuhujumu...
Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025:
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza...
Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea nafasi hiyo kwa awamu nyingine.
Tukio hilo...
Mimi kama mganguzi napenda tu kuweka mambo sawa! Mwezi huu ndio utakutana na wagonjwa wengi wenye sukari na presha ! Mwezi wa kujidhalilisha ndio huu ! Na Mimi Sasa nimefungua dirisha kuanzia Leo...
Wananchiii wa Tanzania nitawazarau saaana iwapo watakubali kutumia fedha bill 500 kufanya uchaguzi bila tume.
Simba na Yanga wamefanya reforms mechi imepigwa jana.Tume ya Kenya ije Tanzania...
Salaam, Shalom!
Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini,
Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa...
Jamani hii ni hatari https://www.facebook.com/share/v/1EnUbatYXF/
Je hii ni AI au ni kweli trump kasema hivi
https://www.facebook.com/share/r/16UtvKxDSw/
Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu...
UJENZI WA MADARASA 7 NEMBA SEKONDARI
Jitihada za makusudi za kuhakikisha kuwa uhaba wa vyumba vya madarasa wilayani kwetu zinamfikisha Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chiwelesa katika...
Kimsingi kila mbunge ana wajibu wa kitaifa na wa kijimbo, lakini katika majukumu yake yote hayo mawili, yeye anastahili kuwa mwakilishi wa maslahi ya wananchi.
Tumeshuhudia mambo ya ajabu katika...
Ndugu zangu, nimekaa na kutafakari, nikaona hebu tujadili pamoja suala hili la uchaguzi ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumbukumbu tulizonazo tangu tuanze mfumo wa vyama vingi mwaka...
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, inatarajiwa kutoa uamuzi wake Alhamisi, Juni 26, kuhusu kesi mbili muhimu dhidi ya Serikali ya Tanzania zinazohusu madai ya ukiukwaji wa haki za...
Team,
Salaam!
Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada.
Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda...
Nionyesheni mradi wowote wa Samia wenye multiple effect angalau wa trion 1 alioanzisha Samia katika utawala wake pamoja na kukopa trion 50 ndani ya miaka 4!!
Huo mradi nikiuona najiunga ccm
Kesho ni tarehe 27/06/2025 ndio siku rasmi ya kuvujwa kwa bunge.
Ninawakumbusha mnao covid 19 na chauma ikiwemo, msije mkachanganyikiwa kama kutakua na maelekezo kutoka juu, lazima nchi iende...
NDOTO: 16
TUME ILIYO NA NAFSI
Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti...
Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani......
Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani...
Vijini huko Wazazi wetu ndio mitaji ya wanasiasa, tena huu msimu,Wewe uko humu daily na post za kuponda Serikali, ilihali Wazazi wana wako wako kwenye list ya watu watako pewa tshirt na kofia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.