Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la...
Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za...
Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwarejesha salama nchini Watanzania 42 kutoka nchini Israel na Iran kufuatia vita vilivyokuwa vikiendelea baina ya mataifa hayo mawili...
Happiness Seneda ambaye alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe amewaaga Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kuweka wazi mipango yake ya kwenda kuwania Ubunge katika Jimbo la Geita.
Seneda...
EDWARD LEKAITA: TUMEENDA ZAIDI YA TULICHOAHIDI KWENYE ILANI YA CCM 2020 - 2025
Mbunge wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Edward Ole Lekaita amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza...
Jimbo la Vunjo limeendelea kuwa miongoni mwa majimbo yenye msisimko mkubwa kila uchaguzi mkuu unapokaribia, lakini awamu hii hali inaonekana kuchukua sura tofauti, baada ya mbunge wa sasa wa jimbo...
Hellow!
Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni,
Leo bunge linavunjwa rasmi,
Je, wao wataendelea kuwa wabunge?
Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao...
Wanasheria naomba kueleweshwa hili kuhusu Chadema ile kesi ni ya Mali , ni ya Madai , sasa kwa nini Mahakama ifungie Shughuli za Kisiasa au lile Zuio limekaaje ? Naomba kuelewesha, mnieleweshe...
Wakuu,
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza kuwa hatua hiyo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi Tanzania UWT, Mary Chatanda ameweka msisitizo kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa viongozi ambapo amesema UWT itawalinda wagombea wake...
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa Bunge ambalo linahitimisha uhai wake leo, lakini kuna jambo limekuwa likinitatiza na kujiuliza Kosa la Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umesema hadi Oktoba 31, mwaka huu utakuwa umekamilisha hatua zote za uuzaji wa Mradi wa Dege Eco Village kwa karibu Dola 220 milioni za Marekani (zaidi ya...
Salaam, Shalom!!
Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili.
Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ameteuliwa na Askofu John Chrysostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya...
Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA?
Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya...
Nitawaletea kinachojiri moja kwa moja kutoka hapa bungeni Dodoma.
Karibuni tuwe sote....
UPDATES;
=>Tayari Dr Mpango kashafika katika viwanja vya bunge
=>Spika anaingia bungeni tayari kwa kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.