Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,644
Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA?
Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?