Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali haitarudi nyuma kamwe katika mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi nchini mpaka hapo vitendo hivyo...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Leo, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Lentz alikutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani kwa maendeleo endelevu ya...
17 Reactions
94 Replies
4K Views
Je umetia nia kugombea uongozi wowote katika Uchaguzi Mkuu na unapanga kufanya kampeni ili uchaguliwe? Elewa mbinu na mikakati ya kufanya kampeni kwa mafanikio. 1.Hatua ya kwanza ni kusoma hali...
0 Reactions
5 Replies
416 Views
Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi...
3 Reactions
9 Replies
609 Views
HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Nilisema katika comments flani hapa JF kuwa Mh.Kikwete hafai kuwa Raisi kama hawezi kulivunja Bunge ,wanasema hana ubavu au hakuna kifungu kinachomruhusu na kumuwezesha kulivunja Bunge la Katiba...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Utaratibu wa kikatiba ni kwamba Bunge likivunjwa Mawaziri nao wanapoteza sifa za kuendelea na Uwaziri kwani Waziri ni lazima awe Mbunge. Huko nyuma utaratibu huu uliheshimiwa na marais wote hadi...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Askofu Mkuu Baba wa Imani Dr Gwajima PhD - Mwangalizi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani. Anatajwa kuhudhuria Bungeni ambapo litavunjwa rasmi tayari kwa uchaguzi. ***Tumtakie matashi MEMA...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Usifadhaike kwa kutoteuliwa ukuu wa Mkoa. We endelea kuweka Camera mitaani. Soon utaonekana Tu. Wilaya ya Ubungo bado tunakuhitaji Sana kuweka Camera
7 Reactions
17 Replies
761 Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Wote hawapo hapo walipo. Wanagonga meza kama ushahidi tu. Wengi wao wanawaza tu juu ya kurudi mjengoni maana walishazoea maposho na malipo ya kikao .
2 Reactions
6 Replies
374 Views
BUNGE linavunjwa rasmi leo ni Mbunge gani ungetamani sana arudi Bungeni tena katika Bunge lijalo la Novemba? Mimi ninao wachache 1. Ndugai 2.Simbachawene 3.Mkumbo
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Hiyo ndio hali halisi kwamba hakuna mwana CCM aliye tayari kuachia jimbo kwa ajili ya kujenga undugu mwema na Chaumma Ahsanteni sana
6 Reactions
11 Replies
593 Views
Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi. Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
3 Reactions
4 Replies
469 Views
Wakuu, Huyu hapa Rais Samia akiwa anaingia bungeni leo ili kuvunja bunge na kuhutubia
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake...
8 Reactions
113 Replies
3K Views
Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na...
4 Reactions
4 Replies
576 Views
Vijana tukiwa takribani 40% ya idadi ya watu hapa nchini hivi sasa ... Tumeambiwa tupo wengi tuliyohitimu level mbali mbali za elimu diploma, degree na Masters....(still jobless & moodless)...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Huu ni msimamo thabiti na madhubuti. Huwezi kushirikiana na wanasiasa wasiojali utu, kulinda mali za umma na wasio na huruma. Hongereni sana.
3 Reactions
0 Replies
324 Views
Back
Top Bottom