Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nikwambie tu yale mapokezi uliyopata siku unafika nyumbani toka ughaibuni ni kwamba wengi walikuja kwa ajili ya kukuona na kushangaaa jinsi ulivyookoka kifo. Ulichaguliwa na chama chako...
52 Reactions
267 Replies
25K Views
Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on...
27 Reactions
91 Replies
11K Views
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa...
13 Reactions
549 Replies
57K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla. Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la...
18 Reactions
267 Replies
32K Views
Deodatus Balile (Makamu mwenyekiti jukwaa la wahariri): Kumetokea jambo wiki hii ambalo limefanywa na mchungaji Peter Msigwa kwenye mkutano alioufanya wiki hii anawaambia wafuasi wa chama chake...
5 Reactions
96 Replies
9K Views
18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani...
37 Reactions
277 Replies
30K Views
Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
NIMESIKILIZA tamko la jukwaa la wahariri Tanzania kupitia ndugu Balile wakidai kuwa hawataripoti matusi ya wagombea, sisi wanachi tungependa kuwajulisha nyinyi wahariri ya kuwa msituchagulie nini...
33 Reactions
82 Replies
7K Views
Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT-Wazalendo na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero. Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema...
29 Reactions
106 Replies
15K Views
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa...
13 Reactions
96 Replies
6K Views
Demokrasia ni mfumo wa siasa ambao wananchi wana mamlaka ya kuwachagua viongozi wao wenyewe kupitia sanduku la kura.Mataifa mengi hasa ya magharibi yanaamini demokrasia ndiyo mfumo bora zaidi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba niwaelimishe, CCM wana utaratibu wao wa siasa. Ndio walijiwekea kitu kinaitwa, "kuanza kampeni kabla ya wkt" huko kwao. atika Hakuna popote hicho kitu ktk sheria za nchi ya...
51 Reactions
107 Replies
10K Views
Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa...
34 Reactions
101 Replies
8K Views
Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ndugu Watanzania, Kipekee napenda kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama. Sasa naanza kuona kwa vitendo kitu ambacho nilitumia my mental image na kuona kuwa nchi fulani zitaingilia uchaguzi wetu...
17 Reactions
209 Replies
15K Views
Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu...
2 Reactions
69 Replies
5K Views
Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Huu Uzi maalumu kwa ajili ya watumishi wa umma wenye salary slip na check no ambao kwa miaka 5 tumedhulumiwa haki yetu Serikali ya ccm haina muda na watumishi, increments kwa watumishi...
20 Reactions
79 Replies
5K Views
Ukistaajabu ya Musa. Leo bwana huyu kachomekea shati kijani kuomba ridhaa? Alimtukana kiongozi wa wakatoliki nchini wakati huo. Akasema misikiti itageuka kuwa sunday School. Akasema mabaya...
21 Reactions
98 Replies
9K Views
Back
Top Bottom