Uchaguzi 2020 Nabii Shilla ahamia ACT-Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwania Ubunge

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
shilla.JPG

Nabii shilla au maarufu Billionaire Shilla amehamia chama cha ACT-Wazalendo na kuchukua form ya kugombea huko Kilombero.

Huyu mtu alifanya jambo la ajabu na la kijinga ambalo kama chadema wasingemfuta uanachama basi Chadema ingekuwa imepoteza umakini walionao.

Mtu hajashinda kura za maoni, na wala hajateuliwa na kamati kuu alafu anaenda mbio kuchukua form ya kugombea.

Ilikuwa ni dharau kubwa kwa kamati kuu na chama.

Ila kuna tatizo kwa baadhi ya watu maana alikuwa ashapata na wafuasi humu kwa kuamini kile anachokisema na mwisho kuitwa kamanda.
 
Back
Top Bottom