Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada
Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya...
CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya.
Baada ya kifo...
Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi?
Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa...
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu.
Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama...
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Gerva Bernard Lyenda amesema kuwa siyo sawa kuzungumzia uchaguzi ujao wakati ule uliopita haukufanyika kwa...
Duniani nzima sasa inalia na Tanzania kwa mambo kadhaa yanayohusi ukiukwaji wa haki za binadamu bila kusahau mauji ua Oktoba 29 .
Nachojiuliza, katika hali hii ya shinikizo kuhwa la kimataifa...
Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee...
Wanabodi,
Karibuni katika mada hii ya "thinking aloud" ambayo ni moja ya mada zangu za abstracts za hypothetical situations, kumaanisha ni mada ya kufikirika tu lakini inafikirisha, na sio...
Wanabodi,
Kwa kilichotokea leo Arusha, Watendaji wa serikali wanahitaji kupigwa msasa wa somo linaloitwa "Managing Diversity " ila wapinzani nao waache mambo yao ya kijinga jinga! ...
Timu ya wataalamu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Serikali ya Tanzania wamefikia makubaliano muhimu yatakayoiwezesha Tanzania kupata takriban Dola za Marekani milioni 375.5 (zaidi ya...
Moja kwa moja.
Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6.
Aliwahi kuwarudisha maengineer wake...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Regina Ndege Qwaray, amekabidhi msaada wa mifuko 30 ya saruji yenye thamani ya shilingi laki sita kwa ajili ya kuunga mkono ujenzi wa ofisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini...
"Mkisoma kwenye mitandao ya kijamii tunakosolewa kushoto kulia mpaka nje ya nchi, sasa wale mnaohisi wana mchango mzuri mnaweza mkawaleta wakawa sehemu ya mipango, wakafikiri pamoja na sisi ili...
Nimeona habari ya kuzomea zomea ikisambazwa mitandaoni na kuchukuliwa kanakwamba ni jambo kubwa sana, au jambo jipya sana au jambo la kushangaza sana.
Nadhani sote ni mashahidi kwamba, ikiwa watu...
Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amekosoa vikali muundo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027, akidai kuwa kiasi kikubwa cha fedha za umma...
WanaJF
....Ifuatayo ni makala yaliyoandikwa katika gazeti la Raia Mwema na aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Kibaha Mjini-CHADEMA Habib Mchange na ambaye alikuja kugombea uenyekiti wa BAVICHA...