Chama cha ODM kumuunga mkono Rais William Ruto Uchaguzi Mkuu wa 2027

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
233
Reaction score
920
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimetangaza kuwa hakitasimamisha mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya wa mwaka 2027, badala yake kitamuunga mkono Rais William Ruto kuwania muhula wa pili madarakani.

Kauli hiyo ilitolewa jana, Julai 12, 2026, na kiongozi mwandamizi wa ODM, Oburu Oginga, ambaye amesema uamuzi huo umetokana na mazungumzo ya kisiasa yanayoendelea kati ya chama hicho na viongozi wa serikali.

Hao n waluo TU wale wa mliman hasa wakikuyu wao hawaung Hilo wataenda na rigathi

2027 watauana na tena watakanyagana

Watakaowaangusha WATU wa mliman wale kobaz wa Mombasa wao n bendera fuata upepo
Hujui kitu kuhusu siasa za majirani.
Rigathi Gachagua hawezi kugombea chochote hata ubalozi wa mtaa(impeached).
Unatumia kigezo gani kusema wakikuyu hawamuungi mkono Ruto?

Umefatilia by-election zote zilizofanyika mpaka sasa my kenya? Huyo rigathi kapata nini?

Mlimani pia Kuna watu kama uhuru Kenyatta na Kithure kindiki ambao ni X factor pia kwenye siasa za mlimani.
 
Huyu mzee wao inabidi aache siasa kabla siasa haijamuacha.
Ana msemo wake anakwambia "hatuwezi bila power,ni lazima tukuwe na power"
 
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimetangaza kuwa hakitasimamisha mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya wa mwaka 2027, badala yake kitamuunga mkono Rais William Ruto kuwania muhula wa pili madarakani.

Kauli hiyo ilitolewa jana, Julai 12, 2026, na kiongozi mwandamizi wa ODM, Oburu Oginga, ambaye amesema uamuzi huo umetokana na mazungumzo ya kisiasa yanayoendelea kati ya chama hicho na viongozi wa serikali.

Ruto ni mwanzilishi wa ODM
 
Hawa wasaliti wakubwa wameamua kumvua nguo Odinga huko kaburini. Walafi wakubwa wa madaraka.
 
Back
Top Bottom