Naona wote mmechangia kuhusu milioni 400 - kama zilikuwa na tij au la.
Swali muhimu ni kwamba,kwanini walificha vielelezo wakati ule, jambo ambalo lingerahisisha maamuzi yakichukuliwa kwa wakati...
HARAKATI za kuwania ubunge kwenye majimbo mbalimbali mkoani Tanga zimeshika kasi, huku kukizuka malalamiko katika baadhi ya maeneo kuwa baadhi ya vigogo wa CCM wameanza mchezo mchafu; akiwemo...
Na Jabir Idrissa
NAFURAHI kuona Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Kiongozi, Hamza Hassan Juma ameramba matapishi yake mwenyewe. Amegeuka.
Hamza ameivua Marekani na tuhuma alizoitupia pale aliposema...
Balozi wa Afrika Kusini nchini, Sindiso Mfenyana, ameishauri Tanzania kujifunza namna bora ya kunufaika na sekta ya madini kutoka nchi za Botswana, Namibia na Afrika Kusini, ili sekta hiyo iweze...
Taasisi ya Policy Forum imeandaa mjadala wa wazi kuzungumzia utendaji wa serikali ya Kikwete kwa kipindi cha 2006-2007.
Mtoa mada mkuu ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Prof. Haji...
Raisi wetu inaelekea yuko busy kweli kweli. Hapa anashughulikia sera ya kugawa pikipiki. Natumaini walemavu wote nchini watapewa angalau pikipiki moja-moja. Kweli tunaye rais.
PRESIDENT...
Napenda kumpongeza mhe Magufuli kwa uamuzi wake wa kugawa samaki kwa wanaostahili bure.Amekaa akakumbuka kuwa serikali kazi yake si biashara!huo ndio utawala bora na mfano wa kuigwa katika...
Wakati vumbi la hoja kuhusu posho zaidi ya moja kwa kazi ile ile halijatua, niliangalia Star TV ambapo kulikuwa na mjadala kuhusu waandishi wa habari kulipwa posho hizo! Kwa haraka haraka nilipata...
Miaka minne iliyopita viongozi wetu wabunge,pamoja na Raisi walitupa mambo kibao ambayo watafanya,je unakumbumbuka mheshimiwa Raisi alituhaidi nini?vipi mbunge wako alisema atafanya nini jimboni...
Nimekutana na hii ambayo imeandikwa na mtanzania mwenzetu katika African Executive nikaona niwashirikishe nanyi wakuu...
By Nkwazi Mhango
The Mandela Foundation was galled by a very...
Assume Tony Blair wa Uingereza wakati yuko madarakani anaanziasha kampuni na mkewe,Cherie ,wanaiita CHETON Ltd.Then wananunua mgodi wa makaa ya mawe huko Wales.Pesa hizo za kununua zinatoka benki...
The founder of the US-based Richmond Development Corporation (RDEVCO) LLC, Mohamed Gire, now appears to have re-invented the company at the centre of a large-scale corruption scandal in Tanzania...
The classic power struggle between the legislative and executive branches of government have come to a head in a spectacular confrontation between the PCCB Czar and the Speaker representing the...
Wiki mbili zilizopita, nilishauri Serikali ya Tanzania iiunge mkono Iran katika mpango wake wa Nuclear kwa matumizi ya amani. Vile vile nilipenda kuishawishi Tanzania iwe na mpango wa kuwa na...
Ile hali ya kuugua na kuanguka ghafula kwa wabunge iliyokuwa imesimama, sasa imerudi tena baada ya mbunge wa viti maalum Mh, Maria Hewa kuanguka ghafula akiwa bungeni dodoma na kukimbizwa...
US showers JK with praise on governance
By Angel Navuri
President Jakaya Kikwete
The United States has commended President Jakaya Kikwete for playing a pivotal role in setting up...
Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo...
Ndugu wanajamii wenzangu.
Gazeti la Rai la Tarehe 29/10/2009 katika ukurasa wake wa mbele lilichapisha sehemu ya Barua iliyoandikwa na Mh. Eduu Lowaa Hasaa aliyekuwa waziri Mkuu wa Kwanza katika...
Mgomo Mlimani Na Katuni Iliyosahauliwa
Na maggid mjengwa,
UKISIKIA mtu amegomea jambo, unachotakiwa kuuliza ni kipi kilichomfanya agome. Maana, kugoma kuna maana pia ya kupinga. Wajibu wetu iwe...