Msimu wa kudanganganyana umeingia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msimu wa kudanganganyana umeingia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by houseboy, Oct 31, 2009.

 1. h

  houseboy Member

  #1
  Oct 31, 2009
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka minne iliyopita viongozi wetu wabunge,pamoja na Raisi walitupa mambo kibao ambayo watafanya,je unakumbumbuka mheshimiwa Raisi alituhaidi nini?vipi mbunge wako alisema atafanya nini jimboni kwake?,je kafanya alichosema atakifanya?.kama watatuhahidi mambo mengine mapya vipi tuwaulize kuhusu mambo ya zamani?,kuna mtu anayo ilani ya uchaguzi ya miaka minne iliyopita ya CCM,au vyama vyama vya upinzani ambapo vilipata wabunge waliahidi nini?au kama kawaida yetu kuwa na jazba,maneno mengi,hakuna kinachofatiliwa kuhakikisha mambo yailyosemwa yanafatwa.
   
Loading...