Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohammed Ali Kawaida ameeleza kwa undani sababu ambazo anasema zilipelekea Chama hicho kumfuta Uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais na...
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua...
Hellow wana JF.
Wakuu(Viongozi kwa Raia) naomba tujifunze kuishi kwa nidhamu, mipaka, tahadhari n.k
Mambo yanaweza kubadilika time yoyote ile na ukazimika kabisa kwenye dunia hii.
Okay, kama ametumia kifaa basi Mkuu wa kituo na Maaskari wa kituo husika wawajibishwe kwa sababu ni jukumu lao kuhakikisha usalama wa raia awe ndani ya kituo au nje ya kituo.
Inakuaje mtu ana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji wa Serbia kuongeza uwekezaji nchini Tanzania, akisisitiza kuwa...
Nimeona kila mtu analaumu kila kinachofanyika serekalini, wengine wakiweka matumaini kuwa Upinzani ukishika Dola mambo yatakuwa sawa, but wanasahau baadhi ya nchi za Africa ambazo upinzani ulikuja...
Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na...
Bibi Mgaya ndiye alikuwa mama yake Mwalimu Nyerere, na mara nyingi alikuwa anaongea naye.
Na sisi familia, kwa kweli hatufahamu kizanaki. Na mimi hata leo Wazanaki wanaweza kuongea hapa mbele...
Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe.
Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii...
Na Dr.Zack
Sababu zilizoletwa na CHADEMA ili kushinikiza kusitishwa kwa kikao cha Baraza Kuu la chama hicho imeibua maswali mengi kwa Wajumbe kikao hicho wakidai kuwa suala la viongozi kuitwa...
Tukubali tukatae, kisiasa na kwa upana wake hata kwenye masuala ya usalama, Tanzania bado ipo katika mfumo wa kijamaa. Ndiyo maana unasikia kelele zisizoisha za Katiba Mpya na Tume Huru ya...
Na: Chris Bwaya Chilumba
31.08 2026
Mwaka 2017, HH akiwa mpinzani nchini Zambia, alikamatwa na kushtakiwa kwa uhaini.
Kesi hiyo ilizua mjadala mkubwa kuhusu matumizi ya sheria dhidi ya wapinzani...
Utekelezaji wa kampeni hii, kwa sisi hapa Tanzania, tumeamua tuje na kaulimbiu inayosema "Kipo, Kichukue, Kamilisha Safari Yako."
Lengo letu kubwa ni kuwakumbusha wananchi wote waliosajiliwa...
Unazaliwa unaishi miaka mingi kuanzia miaka 10 na kuendelea hadi 100 juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia.
Ila ukifa tu, una siku 3 Tu za kuishi juu ya sakafu ya Ardhi ya Dunia, na bado una miaka...
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G), eneo la Mnange, Mtaa wa Lyamkena, mjini Makambako, Mkoa wa Njombe wamelazimika kufanya ibada nyumbani kwa Mchungaji wao baada ya...
Amekosa nini kinachompa hukumu hiyo ya kikatili, Je viongozi wa Tanzania hawataki vijana wenye akili? Au kosa lake ni kugoma Kuhamia CHAUMA?
Lakini Je Watanzania watanyamazia mauaji yake na...
Kama wana uwezo kumuua mwenzao we ni nani ? Hakuna kifo cha Mahabusu , we ulisikia wapi ? Kwamba wakati anajiua wenzie wana muangalia tu ? Hivi Tanzania mna akili ?