Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,540
- 14,262
Hili ni kokoro linasomba yeyote yule.
Maisha ya Ajabu sana. Leo hii Selasini aliyekaribishwa na Mbatia NCCR alimtimua Mbatia aaliyemkaribisha baada ya kutumiwa na TISS. Huyu pia alitumika kudhoofisha NCCR ya akina Mabere / Mrema miaka ya 1990s
Selasini ni bingwa wa siasa za majungu, unafiki na uchumia tumbo. John Mnyika umemkaribisha lakini nakutonya "be careful" huyu ni nyoka na ana bei. TISS wakifika bei aanpokea na anasaliti.