Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls! Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naomba ambaye ana full data za pale mlimani naomba anijulishe, kwani ndo nimepiga kura yangu hapo. nataka kujua impact na Sacrifice ya wenzetu waliotoka mikoani kuja kupiga kura pale mlimani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nchi imetumia pesa nyingi sana kuhamasisha watanzania kwa kaulimbiu ya kupigakura ni hakiyako, Inashangaza kuona kuwa kupata matokeo ya kile kilichowaweka watu katika misululu inakuwa ni hisani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hatimaye tbc imetangaza meatu imekwenda chadema kwa kura 13,200
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia zinasema kwamba matokeo ya ubunge Sumbawanga mjini yameshakamilika ila CCM imemleta Mizengo Pinda na sasa hivi kuna kikao kinachoendelea cha kumbembeleza mgombea wa CHADEMA...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
M.Seif apata 50.06% Dr.Shein:47.30 Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi: JIMBO KUTOKA PEMBA JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893 JIMBO LA WETE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jimbo la uchaguzi la Tarime lililokuwa ngome ya Chadema ktk mkoa wa Mara limechukuliwa na mgombea ubunge wa CCM. Pia ktk kata 30 za Jimbo hili, CCM wamenyakua kata 17, Chadema 12 and CUF...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tumedhamiria kuing'oa ccm kama ckuitowesha ktk raman ya tanzania. Uchakachuwaji wamatokeo umeanza na kama hatutopata haki basi ni wito wangu kujaa ktk kila kona ya barabara kuishinikiza ccm...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : BUKOBA MJINI KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 117 0.35% KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 15,410 46.56% DR. SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 16,604 50.16% LIPUMBA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Madiwani CCM wameshinda katz zote 20 Ubunge Prof. Maghembe ameshinda 20,730
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nadhani Nia ya kuchelewesha matokeo ya ubunge, wanapata nafasi ya kuchakachua kura za urais. chadema jamani mjitahidi pomoja na kazi ngumu ambayo tayari mnafanya katika ngazi ya ubunge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheria inasema nini kuhusu Kujumlisha kura za wagombea Uraisi na Kutangaza matokeo. Wakuu, Nimetonywa na chanzo kinachoaminika kuwa M-Kiti wa Tume ya Uchaguzi akisha pata jumla ya kura...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nanuku kuwa Jaji Lewis Makame amesema ktk matangazo ya BBCswahili kupitia Ustream amesema matokeo ya Urais yatatoka siku ya Ijumaa tarehe 05/Nov/2010. Jaji Lewis aliyasema hayo ktk mahojiano na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
JK mkakati wake wa kurudi kazini yaelekea umefanikiwa kutokana na matokeo ya awali yanayosomwa na NEC ambayo yeye mwenyewe ndiye mteule wake lakini anaelewa fika siyo chaguo la wengi na ndiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ITV wanatangaza, Hawa Ghasia ameshinda mtwara vijijini. Udiwani ccm 26 cuf 2
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani watanzania naomba mnitaarifu majibu ya majimbo hayo hapo juu.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ndiyo hiyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TBC wanatangaza kuwa NEC wanarusha rusha nadhani wanachakachua maana kuna close contest kati ya CCM na CHADEMA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…