Matokeo tarime,hai,same mashariki,ukerewe,kahama,bukombe na shinyanga vipi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo tarime,hai,same mashariki,ukerewe,kahama,bukombe na shinyanga vipi??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by harrysonful, Nov 1, 2010.

 1. h

  harrysonful Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani watanzania naomba mnitaarifu majibu ya majimbo hayo hapo juu.
   
 2. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Huko ni kwamba Wapinzani wameshinda. Lakini kwa maelekezo ya NEC/CCM, Wasimamizi hawaruhusiwi kutangaza hayo matokeo mpaka kwa kibali chao baada ya kuyafanyia MCHEZO MCHAFU au Uchakachuaji.

  Hapa tunadanganyana THERE IS NO FREE AND FAIR ELECTIONS IN TANZANIA.
  Kwanini NEC/CCM mnatuchezea akili????Yaani pale ambapo CCM mmeshinda mnatangaza chap chap. Lakini maeneo ambayo CHADEMA,CUF,NCCR,UDP wameshinda mnatoa sababu za KIPUMBAVU KABISA.

  Mnataka kutupeleka kwenye machafuko kwasababu ya UJINGA WENU WA KUSHINDWA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI????
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapa hakuna demokrasia kabisa!!!!
   
 4. Dr Hope

  Dr Hope Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tume ya uchaguzi ya CCM inatangaza majimbo waliyofanikisha CCM!
   
 5. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm ni wapuuzi kuanzia jk hadi jaji Makame ambaye si jaji tena bali kibajaji ha ccm.
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  tarime ccm tiyari wamerudisha jimbo
   
 7. M

  Mndamba Namba 1 Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tarime limechukuliwa na Nyambari Nyangwine(CCM) as per taarifa ya ITV
   
 8. M

  Mndamba Namba 1 Senior Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arusha tayari chadema wametangazwa washindi
   
Loading...