Elections 2010 Haki ni kupiga kura, huna haki kupata matokeo

Prophet

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
274
124
Nchi imetumia pesa nyingi sana kuhamasisha watanzania kwa kaulimbiu ya kupigakura ni hakiyako, Inashangaza kuona kuwa kupata matokeo ya kile kilichowaweka watu katika misululu inakuwa ni hisani itayotolewa wale waliowekwa vitini. Ni wazi tunaona jinsi wanavyomtumikia mhisani wao.
MSITUHARIBIE NCHI YETU ATHIMU!
 
Back
Top Bottom