Jaji Makame asema ' Matokeo ya Urais kutangazwa Ijumaa 05/Nov/2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji Makame asema ' Matokeo ya Urais kutangazwa Ijumaa 05/Nov/2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bagamoyo, Nov 1, 2010.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,519
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Nanuku kuwa Jaji Lewis Makame amesema ktk matangazo ya BBCswahili kupitia Ustream amesema matokeo ya Urais yatatoka siku ya Ijumaa tarehe 05/Nov/2010. Jaji Lewis aliyasema hayo ktk mahojiano na BBC yaliyorushwa Ustream saa 10:30 jioni ya leo tarehe 01.Nov.2010 Jijini Dar-es-Salaam.
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eheeeeee. Inamaana muda haotoshi wa kuchakachua? Ndio maana wanatangazi wajimbo 10 tu baada ya masaa takribani 6? Ukifanya mahebu ya haraka haraka wanahitaji siku 10 na kuendelea ili kukamilisha majimbo yote. Hii ni hatari sana kwa Taifa hili
   
 3. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Si walisema watatangaza ndani ya siku moja? Au walitegemea bosi wao atashinda kwa mteremko na sasa mambo yamewawia vigumu wanatoa muda wa kutosha kwa wachakachuaji wao. Too bad.
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hatukubali hayo matokeo!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this is absolutely unfair to all dedicated Tanzanians... the country has spent huge sum on IT.... sielewi ya Ubunge yanatokaje na uris hayatoki...

  JK na wenzako... you may chakachua for long time, but you cant chakachua all the time

  2015 here we come
   
 6. LebronWade

  LebronWade JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  makame ni wa kupiga bomba tu ajue citizens are above all of them put together!
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  penda tusipende matokeo ndiyo yanapikwa hivyo
   
 8. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hilo nalo la kuuliza?
   
 9. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
   
Loading...