Tarime yaangukia CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarime yaangukia CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Juaangavu, Nov 1, 2010.

 1. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Jimbo la uchaguzi la Tarime lililokuwa ngome ya Chadema ktk mkoa wa Mara limechukuliwa na mgombea ubunge wa CCM. Pia ktk kata 30 za Jimbo hili, CCM wamenyakua kata 17, Chadema 12 and CUF wameondoka na kata 1 (hii imechukuliwa na Charles Mwera - aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema na kisha kuhamia CUF, yeye alikuwa akigombea ubunge na udiwani). Source Radio One
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh so sad hapa kuna mchezo imechezwa
   
 3. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Teh Teh,,, kila Mnapopigwa kuna mchezo umechezwa kaaaaaaaaaazi kweli kweli
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa unataka tufiche ukweli?
   
 5. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh!! any news from Rorya please!!!
   
 6. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Rorya nimepigiwa siomu na rafiki yangu Lameck Airo kapeta
   
 7. T

  Tuzo Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwera alichemka kuama chadema, hakuzisoma nyakati
   
 8. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  du masikitiko kwa mustakabali wa mapinduzi nchiniu........wana tarime vp tena mnaiangusha nchi?.......tulitegemea mtakuwa wa mfano mkwa watz wengine badala ytake mmekubali kurubuniwa na mafisadi.........
   
 9. E

  Edo JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  CCM wamechakachua wakati mabomu yanapigwa ndio jamaa akachomekea kura
   
 10. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  acheni hizo!mkishindwa tu michezo,mkishinda mnaona safi eh!ni demokrasia hii
   
 11. mtuwatu

  mtuwatu Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tarime,,haiwezekani - full kuchakachua - ccm hawa,michezo michafu wataacha lini!!?
   
 12. w

  werema01 Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwikabe mwita waitara a traitor
   
Loading...