Naomba kujua matokeo ya kituo cha Mlimani


Isimilo

Isimilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Messages
219
Likes
1
Points
0
Isimilo

Isimilo

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2007
219 1 0
Wadau naomba ambaye ana full data za pale mlimani naomba anijulishe, kwani ndo nimepiga kura yangu hapo. nataka kujua impact na Sacrifice ya wenzetu waliotoka mikoani kuja kupiga kura pale mlimani ilikua vipi. Nataka nijua poll results za hicho kituo peke yake
 
P

Paul J

Senior Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
193
Likes
1
Points
0
P

Paul J

Senior Member
Joined Oct 25, 2010
193 1 0
Hiki ni kipimo cha kuwa Dr.Slaa ndo rahisi mkuu maana wasomi wanamkubali

Kituo cha DARUSO matokeo yalikuwa hivi

Dr. Slaa 454

Jaka 71 ( Chali vibaya mno hata kama amegoma kufungua vyuo)

Myika 473
Ngumbi 45
 
M

Mndamba Namba 1

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
113
Likes
0
Points
0
M

Mndamba Namba 1

Senior Member
Joined Oct 19, 2010
113 0 0
Wasomi hawakopeshi nasikia hata SAUT Mkuu Masha kaambulia patupu
 

Forum statistics

Threads 1,252,273
Members 482,061
Posts 29,802,380