Ndesamburo, Mbowe, Shibuda, Mpendazoe, Zitto vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndesamburo, Mbowe, Shibuda, Mpendazoe, Zitto vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sir John, Nov 1, 2010.

 1. Sir John

  Sir John Senior Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls!
  Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
   
 2. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Subiri tume ya uchaguzi watangaze vinginevyo utalishwa "Kasa" tu hapa
   
 3. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini.
   
 4. Sir John

  Sir John Senior Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu thanks kwa taarifa nzuri!
  well done all....changes 4ever
   
Loading...