Watanzania tuungane kuing'oa ccm,tutaandamana pande zote mpaka kieleweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tuungane kuing'oa ccm,tutaandamana pande zote mpaka kieleweke

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TumainiEl, Nov 1, 2010.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,646
  Trophy Points: 280
  Tumedhamiria kuing'oa ccm kama ckuitowesha ktk raman ya tanzania. Uchakachuwaji wamatokeo umeanza na kama hatutopata haki basi ni wito wangu kujaa ktk kila kona ya barabara kuishinikiza ccm kung'ooka, damu ya watanzania ikimwagika ni bendera za ccm zitatumika kufunga nakuta dam hyo. Tumechoka tumechoka. Next tunaingia barabarani. Ccm lazima ing'oke in Jesus might name.
   
 2. k

  king ndeshi Senior Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  LIVE YANI! TUWAPANDIE:bowl:
   
 3. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hatuko tayari kumwaga damu kama unavyohamasisha. Acha kufanya kazi ya Ibilisi.
  Mwaga ya kwako, waache wa Tz.
  Mungu tuepushe na watu wenye mawazo kama haya. SHAME ON YOU.
   
 4. kijoti

  kijoti Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe kishongo unachooogopa ni kitu gani, kwani kumwagika damu ina maana gani kwako???? acha woga.tunataka mabadiliko sasa.SHame iwe kwako wewe. nyinyi ndio mlionyweshwa maji ya kijani kila kitu kwenu ni sawa na jana ya mbele hamtaki hata kuyajua. big up TUMAINIELI tumechoshwa kuibiwa kila siku:nono::nono::nono::nono::nono::nono: sasa basi na inatosha
   
 5. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Chadema hamuyawezi hayo, kwani si wapinzani wa kweli, kauli kama hiyo iktolewa na cuf nntaimini.
   
Loading...