Ndugu Watanzania wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kutupa uzima na kuiona siku hii ya leo.
Kwa kifupi sana, naamini jana wote tulijionea hali halisi ya uzinduzi wa...
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow...
Habarini JF members, poleni na majukumu lakini pia hongereni kwa kuendelea kufuatilia kampeni zinazoendelea nchini kuanzia tarehe 28/8/2020.
Nimeleta mada yangu kwa muundo wa swali ili kujaribu...
Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa...
Uchaguzi ni suala nyeti.
Lazima Tume ihakikishe yenyewe inawashauri wanaokosea kurekebisha.
Kwa Lugha nyingine udhaifu wa form usiwe kosa la Mgombea bali TUME.
Hivi inguwaje kama nchi ingemkosa...
Wana Arusha kuanzia Babati Karatu Monduli Namanga Mto wa Mbu, Usa River Ngaramtoni Mnakaribishwa kesho kwenye viwanja vya NMC RELINI kuanzia saa nne asubuhi. Rais Mtarajiwa Mwanasheria Nguli...
Kampeni zikiwa zimeanza rasmi na baadhi ya vyama kufungua kampeni zao kwa mbwembwe na kwa kujiamini bila kujua walichofanya ni sawa na sifuri kwetu wapiga kura.
Pengine, walitarajia ufunguzi wa...
Kuna mambo hayahitaji akili kubwa sana kuyaelewa namna yanavyoenda/endeshwa.
Hii kauli mmeisahau? "Nikuteuwe mimi kuwa Mkurugenzi, nikupe gari, nikupe nyumba, nikupe mshahara na posho halafu...
Mgombea wa Urais wa JMT kwa tiketi cha CHADEMA, Tundu Lissu aahidi neema kwa watu Watumishi wa Umma ikiwemo Madaktari, Malimu na Vyombo vya Dola kwa kulipwa mara mbili ya mshahara wa sasa.
Katika...
Huhitaji kufanya uchunguzi wa kina kugundua kama wapinzani nchini hawajajipanga
Ukiangalia utagundua wabunge wote wa upinzani wa kuchaguliwa ambao wana uzoefu bungeni hawajakutana na "panga" la...
Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea...
Emmanuel Masonga(CHADEMA) amuwekea Deodatus Mwanyika(CCM) pingamizi kwa kuwa alikiri na kuhukumiwa kwa Ukwepaji Kodi na akalipa Fidia ya 1.5 Biliona pamoja na Fine ya 1.5 Million.
Deodatus...
Imetokewa na:
KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA
Dar es Salaam, Agosti 28
Leo tumesikitishwa sana na mwendelezo wa CHADEMA kukiuka uhuru wa habari, dhana muhimu katika haki za binadamu.
Kitendo cha...
"Miongoni mwa Wagombea wetu 218 wa majimbo yote 264 nchini, wagombea 40 hawakuteuliwa kabisa!Wagombea 22 wameenguliwa kwa mapingamizi Tanzania Bara na 14 Zanzibar (9 Pemba). Jumla wagombea 76...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, karibu ndugu msomaji tujadili.
Tanzania ni nchi inayoendesha shuguli zake za mamlaka kwa mfumo wa Demokrasia kama ilivyo ainishwa katika utangulizi wa katiba...
Siku chache zikiwa zimebaki kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020, minong'ong'o mingi imekuwa ikijitokeza hasa kuhusiana na idadi ya wagombea wa Ubunge kupitia chama chetu. ukweli ni kuwa...
Kampeni mtu unatakiwa ueleze changamoto za mahali husika na utakavyotatua
CHADEMA Mbagala mbunge wao hajakatwa na tume lakini CHADEMA imewaeleza kuwa kipaumbele ni kurudishwa wabunge waliokatwa...
CHADEMA isitafute mchawi kuenguliwa kwa wagombea wake katika nafasi za Udiwani na ubunge kwenye uchaguzi mkuu ambao kampeni zake zimeanza tangu Agosti 26, 2020 kwani hawakuwaandaa wagombea wake...
Leo kama kawaida niliwahi mapema sana kwenye mkutano kusikiliza sera za mgombea wetu.
Mengi ameeleza vizuri sana japo kuna ambayo ameyarudia rudia sana.
Kingine nilichopenda ni muda wa mgombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.