KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,601
Kampeni zikiwa zimeanza rasmi na baadhi ya vyama kufungua kampeni zao kwa mbwembwe na kwa kujiamini bila kujua walichofanya ni sawa na sifuri kwetu wapiga kura.
Pengine, walitarajia ufunguzi wa kishindo wenye kila hamasa za kuamsha hisia, matokeo yake ni aibu kubwa sana. Mwitikio hasi, furaha hakuna, hofu ya kuchangishwa , hofu ya kufukuzwa kama TBC ndio vilitawala siku ya kwanza ya ufunguzi kampeni za CHADEMA.
Naamini CHADEMA ni chama kikubwa na walichopata sicho walichotegemea na hilo linatoa picha ya anguko lao hapo Oktoba 28. Anguko litakalotokana na kujiamini kupita kiasi na kutojua nini watanzania wanataka.
Miaka mitano ya Rais Magufuli hakika tumepata tunachopata kuanzia kwenye miundombinu, uchumi , maendeleo , elimu bila malipo. Ni historia pekee itakayomkumbuka Magufuli pale kizazi hiki kinachoshuhudia juhudi, falsafa na misimamamo yake pale kitakapopotea lakini watanzania hawataiacha historia imkumbuke pekee bali tutahahakikisha tumpatia kile anachostahili kwenye uchaguzi huu nacho ni USHINDI WA KISHINDO.
Mpaka ufunguzi wa kampeni zao unaisha, CHADEMA watakuwa wamejua Rais atakuwa nani kutokana na mwitikio wa watu tena kwenye jiji lenye wapigakura zaidi ya asilimia 13 lakini hawatakubali kukiri mpaka washuhudie anguko lao wenyewe.
Rais ni mmoja tu 2020-2025 naye ni Magufuli, kiongozi kutoka kwenye chama kinachojali watu na hali zao na kuwa pamoja na watu kwenye matatizo yao.