Uchaguzi 2020 NCCR-Mageuzi tuna wagombea Ubunge zaidi ya 103

NCCR Mageuzi

Member
Oct 3, 2007
23
63
Siku chache zikiwa zimebaki kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2020, minong'ong'o mingi imekuwa ikijitokeza hasa kuhusiana na idadi ya wagombea wa Ubunge kupitia chama chetu. ukweli ni kuwa kimya kingi kina mshindo, mpaka sasa chama chetu kina zaidi ya wagombea Ubunge 103. licha ya kuwa na changamoto mbalimbali zikiwemo zile za kuenguliwa kwa wabunge wetu bado Idadi ya wagombea ubunge inazidi kuongezeka.

2501125_simbeye.jpg
 

Attachments

  • simbeye.jpg
    simbeye.jpg
    297.1 KB · Views: 1
Wagombea wanaenguliwa halafu wanazidi kuongezeka? Au wanapewa majimbo wanayotolewa wa ACT?
 
Back
Top Bottom