DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,152
This was a design and build project. Ni wazi, takwimu walizokusanya hazikutafsiriwa ipasavyo kwa kuzingatia mabadiliko ya tabia ya nchi. Over designing sio dhambi katika uhandisi
Wali over design Kilosa kupita mto Mkondoa ndio maana kuna tunnels 4. Kidete kuna uzembe. Maana palijengwa bwawa la Kidete wakati wa Mkoloni kudhibiti maji ynayotokea Kiteto (Manyara)
Kama hayakuwa factored out kwenye design hii kuna ujanja umetumika ili zipigwe pesa. Kabla, tumewashauri kuhusu the conventional way ya ku’tender vis-a-vis the feasibility study
Haya sasa ndiyo madhara ya single source procurement. Zabuni sahihi katika nanunuzi ya umma ni zabuni za wazi (open tender) na washindani wajulikane. BIDS shindani zionekane pale TANePS
Kilosa reli ilitakiwa kupita juu. Waliopitisha chini some sections walilenga kuikoa gharama zao at our blood expenses. Mjerumani alipojenga reli, eneo lote la Kilosa ni flood prone area. HAMJUI?
SGR ya majirani, KENYA ina miaka zaidi ya 10. No single technical hitch; NO single accident. Majirani wakiweza kuunganisha reli yao Malaba - Kampala. Tumekwisha ; tutabaki na monuments tu.
Wengine tulilia machozi Mturuki kupewa huu mradi mkubwa sana. Hatukusikilizwa. Waturuki SGR ndio mradi wao wa kwanza kufanya MKUBWA. Lazima wazushi mkubali, it was a learning trail…
Hatuwezi kukubali kuingia gharama hata jero kwani mradi bado upo kwenye liquidated liability period. Uharibifu wowote wa kizembe ni jukumu la mkandarasi ikiwemo fidia ya loss of business.