KUTOKA MAKTABA
Katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM mwaka 2025, wajumbe kutoka pande zote za Tanzania walikutana kwa umoja na mshikamano mkubwa ili kufanya maamuzi muhimu kwa mustakabali wa Taifa...
Kwa mfumo wa Tanzania ambao chaguzi ni kiini macho tu. Unapofika wakati wa uchaguzi TISS ndo wanakuwa wameshika makali na mpini. Na ukizingua wanakumwaga tu na huwezi kuwafanya lolote...
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?
Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui...
Kwa mifumo mibovu iliyowekwa na CCM, kuna nafasi ukikaa unakutana na bahasha nyingi sana. Unakuwa kama umeshika mpini, wengine wameshika makali. Kupata mgao wa milioni 50, 70, 100 bila msingi...
Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi...
Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa...
Friends and our Enemies,
Hakuna chochote cha maana alichozungumza popo pole pole zaidi ya pumba na kubwabwaja tuh.
Unajua hawa the so called sukuma gang na masalia yao still hawaamini kuwa god...
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka.
Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
Kwanza.
Huyu polepole hakusema anaongeA na kina nani!?
Press yeyote lazima uwatambue watu wanaokusikiliza au hata kama hawapo(hewa) wataje. Kama alivyofanya Gwajima.
Pili.
Kwani nani kamtuma...
Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote...
Mtakapotoka hadharani kabla kwanza ya kueleza malalamiko yenu na kutokuridhishwa kwa yanayotokea sasa ni vyema kwanza mkatubu na kuomba radhi wote walioteseka na wanaondelea kuuguza maumivu na...
Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni
Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni
Ahsanteni sana 🙏
Huko mbeleni nikifanikiwa kuwa Rais wa Nchi, jeshi langu la ulinzi litafanya kazi kuu 4.
1. Kulinda mipaka ya Nchi.
2. Kulinda rasilimali za Nchi yetu.
3. Kulinda HAKI za Watanzania kwa...
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Godfrey Malisa amesema hatambui uamuzi uliofanywa wa kumfukuza uanachama kwa kile alichodai hakuvunja Katiba ya CCM hivyo maoni aliyoyatoa kuhusu uteuzi wa...
Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za...
Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake
Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.