Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Historia huwa haidanganyi. Insha Allah Tunamuombea atoke salama kwa jina la Mwenyezi Mungu, Allakhuakbar. Mh Tundu Lissu amepigana vita vingi. Hakuna kitakachomzuia kuwa Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
8 Replies
479 Views
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake, Muhula wa kwanza 2025 - 2030 Muhula wa pili 2030 - 2035 Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
0 Reactions
3 Replies
337 Views
https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake. Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini? Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge wilayani Ngara Mkoa wa Kagera ametengeneza bango la kukemea rushwa kama linavyoonekana pichani.
22 Reactions
36 Replies
2K Views
Pole sana rafiki yangu kachupi mwana Aza boy mwenzetu Mimi na Pole pole🤣😂😀😝 hii kazi nakumbuka uliipata miaka 3 baada ya kutoka Azaboy. Usiku wa Leo majira ya SAA TANO ukujua lire pagala...
32 Reactions
175 Replies
11K Views
Naomba kujua kazi za katibu tawala,naomba kufahamu kazi ya KATIBU tawala wa mkoa, na tofauti ya mkuregenzi wa maendeleo wa mkoa.pia kama kuna KATIBU tawala he mwenyekiti tawala ni nani katika...
1 Reactions
28 Replies
34K Views
Asalam aleykum waislamu wenzangu. Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji. Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya...
-2 Reactions
53 Replies
2K Views
Polepole amesema "Kama Rais anahonga huo urais si atakuwa anahudumia makundi?"
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain 1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
0 Reactions
5 Replies
504 Views
SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE @AbroadTanzania 1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja. 2. Asema...
64 Reactions
113 Replies
8K Views
Polepole kama lilivyo jina lako. Laiti kama ungekuwa una akili timamu wala hayo unayoyazungumza wala usingeongea kwa sababu zifuatazo. Wakati ulipokuwa katibu Mwenezi wa chama ndo kipindi Ben...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakati Watanzania mbalimbali waki summarize Press ya Mzalendo Polepole Kwa namna mbalimbali waonavyo. Polepole yeye kahitimisha Kwa kusema huku akisisitiza "Mwaka huu KwaDesturibya CCM kunapaswa...
1 Reactions
3 Replies
444 Views
Polepole ametafsiriwa kueleza kuwa utaratibu uliotumika kumpitisha Mwenyekiti Samia kuwa mgombea wa urais, na tena mgombea pekee, haukuwa wa kikatiba hivyo basi ni batili. Swali ni, iwapo hatua...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Nazingatia bara. Umakamu aliupata kama dodo na ukuu kimserereko. Hakuchaguliwa yeye kama yeye ila kwa mgongo. Na hata sasa ndani amegoma kuchaguliwa ila kujichagua. Anataka wote tumuunge mkono...
3 Reactions
11 Replies
671 Views
Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kupokea taarifa za kutekwa na kurejeshwa kwa mwanamke aliyejitambulika kwa jina la Christina Hezroni Polepole Kinyangazi, mwenye umri...
12 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom