Je ni kweli Komredi Polepole yuko peke yake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,599
Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni

Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni

Ahsanteni sana 🙏
 
H.Polepole is fully supported by a multitude of both the vulnerable and invincible. A historic landslide is gonna reshape the veins of the lamenting soil.
 
Nauliza tu kwa sababu hata Daudi alipopigana na Goliati alikuwa na Mungu wa mbinguni

Hata Mussa alipowaokoa Wana wa Israel alikuwa na Mungu wa mbinguni

Ahsanteni sana 🙏
CCM chama kikubwa kina wenyewe na wenyewe walijua kabisa Polepole hayuko peke yake na wanawajua kwa majina ndio maana CCM imeamua ama zao au CCM ya wenye CCM yao

Nadhani kuna watu walijisahau kuwa kuna wasiojulikana wamiliki wa CCM wakadhani wao na baba na ndugu zao nk kuwa ndio wenye CCM

CCM kina wenyewe na wengi hawajulikani publicly wako behind the scenes
 
Kama yupo hapa nchini, alipita kwenye boda ipi au alikuja ndio akaandika barua ya ku resign akiwa nchini
 
Nani wa kumtoa?
Tungekuwa na jeshi lenye kujitambua angeng'olewa
IMG-20250718-WA0063.jpg
IMG-20250718-WA0064.jpg
 
Kwamba walijua HAYUKO pekee yake isipokua yupo na dada yake? Interesting

Back
Top Bottom