Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TAL anatetea maslahi ya Tanganyika. Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa. Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni...
1 Reactions
7 Replies
550 Views
UTANGULIZI; Hii Wilaya hapo zamani hakuni siku ilipita bila wakulima na Wafugaji kuchomana mikuki na kukatana mapanga, Ukweli usemwe tangu kiongozi huyu akabidhiwe Wilaya hii mambo ni shwari...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Kuongezeka kwa idadi ya wanachama wa vyama vya ushirika ni kiashiria cha uchumi wetu kukua. Mwaka 2014/2015 wanachama wa vyama vya ushirika walikua ni 2,390,593, mwaka 2020/21 wakaongezeka na...
0 Reactions
11 Replies
350 Views
Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli. ushahidi. Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito. "" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya...
0 Reactions
182 Replies
26K Views
Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa...
19 Reactions
146 Replies
11K Views
Mungu hufanya majira na wafalme. Mungu hufanya yale soote hatuyawazi wala hatuyafikirii. Namuona Mungu wa Tanzania 🇹🇿 Mungu wa Baba Yetu Nyerere anajambo lake anajambo lake sio wanadam wala sio...
13 Reactions
106 Replies
5K Views
Wachina wanataka kuuza maguta yao (pikipiki za matairi matatu) ambazo kazi zake umezwa na matera ya punda. So wanaua punda kadri wanavyoweza waweze kuuzaa
4 Reactions
21 Replies
929 Views
Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha...
6 Reactions
15 Replies
639 Views
Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala...
0 Reactions
16 Replies
929 Views
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nashauri JF wabalansi ili na sisi tupate nafasi, ukurasa mzima unajadili CCM, mbalansi angalau na sisi tusisahaulike
1 Reactions
13 Replies
394 Views
Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO Karibu Tanzania Welcome to Tanzania Bienvenue en Tanzania Bem-vindos à Tanzania 📅 21 - 25 Julai, 2025 📍 JNICC Dar es Salaam, Tanzania
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
4 Reactions
22 Replies
832 Views
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari. Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hamjambo Wote! Pamoja ujasirisiasa aliokuwa nao Polepole kwa sakata lake, wiki hii! Kwa Hilo nilimpongeza. Lakini baada ya kumsikiliza kwenye Press yake Leo. Kwa kutazama body language yake, na...
21 Reactions
116 Replies
4K Views
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa. 2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa. 3. Serikalini nao wamechoshwa na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom