Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka .
Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati...
Wanabodi,
Kwanza anza na hii video https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1
angalieni nchi za wenzetu,linganisha na hapa kwetu!。 Mwangalie Dr Tulia wa IPU na umlinganishe na Dr Tulia wa...
ANAITWA Daudi Issa Masasi. Ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini kupitia chama cha upinzani cha ADC akitaja vipaumbele 10 vyake endapo atapata ridhaa ya chama chake na wapiga...
Mfumo wa email wa air Tanzania haufanyi kazi, leo nipo hapa Lubimbashi, nataka kurudi tanzania, nimeshindwa kureset password, ila imeshindikana kwa sababu email hazifiki.
Air Tanzania ebu...
Nimesoma mitandao hasa X (tweeter), habari ni hiyo! Kila mmoja analalamika na uhahisi hasa uchungu watu walio nao.... na kila mmoja ana speculations zake.
1. Anagombea Urais Chaumma
2. Atapewa...
1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku...
2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..?
3. Kwa...
"Mbowe kaonesha leo ukomavu wa kisiasa na zile ndio siasa Chadema muigeni baba yenu Mbowe ile ndio siasa acheni chuki , chuki haitupeleki popote , zaidi ya kutuletea matatizo tu " Hayo yamesemwa...
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa
1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa
2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo...
Chadema Katiba imefuatwa Mbowe kanuna na kikundi kutokea Kaskazini wamehamia Chaumma
Huku CCM nako yule Polepole anadai Katiba haijafuatwa Vurugu kila kona
Hivi Siasa za Tanzania zimesimamia...
Bila shaka ule mwendo ulimtisha kila mmoja aliyekuwa ndani ya Nyumba
Licha ya jitihada zilizotumika kumtafuta nyoka bila mafanikio Leo Kuna watu watalala masikio yote yakiwa nje wakisikia kila...
Kesi inaendelea mahakani...
Mzee wa kanisa anajitokeza anaongea mengiiii anawapoteza na mnamuamini kisha anapotea ghafla.
Anaibuka balozi mtu ambae amezungukwa na hao watu Kwa Kila analofanya...
GT
Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu.
Lazima Rais awajibike kwa chama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiulizia bei ya Samaki katika Soko la Wamachinga Parking Nzega mjini wakati alipotembelea Soko hilo ili kujionea na kutatua...
Ndugu zangu Watanzania,
Mara Baada ya Kuingia Madarakani Rais wetu Mpendwa aliikuta Nchi ikiwa na mgawanyiko mkubwa sana na kukiwa hakuna Umoja wa kitaifa kutokana na chuki za kisiasa kumomonyoa...
Historia huwa haidanganyi.
Insha Allah Tunamuombea atoke salama kwa jina la Mwenyezi Mungu, Allakhuakbar.
Mh Tundu Lissu amepigana vita vingi. Hakuna kitakachomzuia kuwa Rais wa Jamhuri ya...
Awamu hii ya sasa watasema haikuwa awamu yake,
Muhula wa kwanza 2025 - 2030
Muhula wa pili 2030 - 2035
Kuna wa kupinga Kamati kuu ya Ccm ? NO, HAKUNA !!
https://www.youtube.com/watch?v=xAkwL-MkyWk
Sio sawa mtu mwenye werevu mpana kama wa 'Dr. Kimei' kwenye maswala ya finance kwa mazingira yetu kuondoka bila ya kutoa elimu ya finance kwa viongozi...
Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu.
Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir
Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.