Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
1 Reactions
10 Replies
393 Views
Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Wanajamii, je, hili limekaaje? Freeman Mbowe, aliyekuwa mtuhumiwa wa ugaidi na serikali, sasa anaonekana akisimama wazi mbele ya Rais bila ulinzi wowote! Hii inamaanisha nini kwa usalama wa taifa...
10 Reactions
71 Replies
4K Views
Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo...
20 Reactions
233 Replies
24K Views
Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Hali ya kisiasa ndani ya CCM kwa sasa haivutii sana. Viwango vya ueledi kisiasa umeshuka sana, hadi sasa tumebaki na "wanasiasa mfumo". Wanasiasa mfumo ni wale wanakuwa recycled toka kazi za...
2 Reactions
8 Replies
626 Views
Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika...
3 Reactions
11 Replies
747 Views
Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
1 Reactions
10 Replies
703 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi...
30 Reactions
51 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
0 Reactions
2 Replies
300 Views
Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025...
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Introduction As Tanzania stands at the crossroads between the concluding aspirations of Vision 2025 and the bold ambitions of Vision 2050, the time has come for a critical national reflection...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
0 Reactions
15 Replies
894 Views
Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya...
8 Reactions
16 Replies
716 Views
Back
Top Bottom